hapa pananukia kung'olewa viti!!
Dk 86, tuombee ruvu wasisawazishe, kwa usalama wa uwanja wetu.Mmmmh!! Unasemaa!!
hapa pananukia kung'olewa viti!!
Duu!! Mnyama atatoka kweli leo
Dk 86, tuombee ruvu wasisawazishe, kwa usalama wa uwanja wetu.
na hiyo ndio ingekomesha hyo tabia ya kihuni.TFF wategeshe camera za kuwanasa hao wahuni, wakiwapeleka kotini wawili au watatu lazima watakoma.
na hiyo ndio ingekomesha hyo tabia ya kihuni.