Uwanja umeshaharibiwa tayari....Jaman huku taifa VIP wanalowa na mvua
Hahah mkuu kuna jamaa jana waliokimbia kung'oa visiki huko Bunju wameingia uwanjani Taifa kung'oa viti...
acha zako wewe habahatishi wala nini....
Jaman huku taifa VIP wanalowa na mvua
utasikia msimu ujao yanga wanaleta mizengwe wamsajili.
bado, Simba 2, ruvu 0vipi bado mbili bila
Sure, hizo nguvu wangezipeleka Bunju uwanja ungekuwa tayari na leo wangechezea hapo.
Jaman huku taifa VIP wanalowa na mvua
Mjomba unamajungu!!?