...Wadau asanteni sana kwa UpDates!
'hakika tume-Enjoy ambao hatukuweza kufika uwanjani...'bigUp!
Kwa matokeo haya kiwango cha Simba kiko chini sana. Imefungwa na JKT Ruvu iliyofungwa 6-0 na timu dhaifu ya Prison. Aidha Simba imeshinda kwa taabu bao 3-2 timu iliyocharazwa na mtani wake 7-0, something must be done to save SSC.
FT SIMBA 3, RUVU 2,ni matokeo mazuri kwa USALAMA WA UWANJA WETU.
Huyu Rage bora aachie ngazi tu, maana hakuna cha maana anachofanya, kuendelea kukaa kwake madarakani ni kuendelea kuigawa timu.
Huyu Rage bora aachie ngazi tu, maana hakuna cha maana anachofanya, kuendelea kukaa kwake madarakani ni kuendelea kuigawa timu.
poleni simba
Yanga Na Azam Fanyeni Vyovyote Mnavyojua Lakini Mtuachie Nafasi Moja Hapo
.KUNA mambo mengi yanachangia kudidimiza maendeleo ya michezo nchini. Moja ya mambo hayo ni uwapo wa migogoro iliyokosa suluhisho kwenye klabu na vyama vya michezo.
Ni dhahiri migogoro katika vyama vya michezo na klabu ndiyo iliyochangia kwa kiasi kikubwa Tanzania kufika ilipo sasa katika sekta ya michezo.
Hakuna ubishi kwamba, heshima ya ramani ya Tanzania katika michezo ya kimataifa, imepotea kutoka kwenye mstari. Tumebaki kulumbana na kulaumiana kwa makosa yetu wenyewe.
Wakati wenzetu wanazidi kupiga hatua za mafanikio katika michezo, sisi bado tumelala usingizi wa fofofo, hatuna la kujifunza zaidi ya kushabikia migogoro.
Viongozi na wanachama wa klabu za soka nchini, hasa hizi kongwe, ni dhahiri wameamua kuwekeza kwenye migogoro badala ya maendeleo.
mashabiki simba tui support azam kuchukua ubingwa, sisi tumeshashindwa! ikiwezekana simba tufungwe na azam ili kuwapa nafasi dhidi ya yanga
mashabiki simba tui support azam kuchukua ubingwa, sisi tumeshashindwa! ikiwezekana simba tufungwe na azam ili kuwapa nafasi dhidi ya yanga
Suala la washabiki wa Simba kushangilia timu ngeni hawajaanza wao, wanachofanya sahivi ni kulipiza kisasi tu lakini suala hili kwa hivi karibuni limeanzishwa na washabiki wa Yanga waliponunua jezi za TP Mazembe na kuishangilia sana, wale wa Simba nao wakaja kulipiza kwa Zamalek baada ya hapo imekuwa ni mwendelezo.Mbaya zaidi timu nzuri kama Yanga zinapocheza kimataifa hawa Simba wanaingia kuizomea ifungwe ili ifanane nao, ikishinda wanang'oa viti, what kind of stupidity is this?
mashabiki simba tui support azam kuchukua ubingwa, sisi tumeshashindwa! ikiwezekana simba tufungwe na azam ili kuwapa nafasi dhidi ya yanga