live updates.SIMBA VS RUVU SHOOTING

live updates.SIMBA VS RUVU SHOOTING

Sio Kifaru. Masau Bwire. Jana alisema wamechoka kuitwa wazee wa wiki! "Kila tunakopita mitaani watu wanatuita wazee wa wiki!"

Asante Mkuu ni Masao Bwire, hizi figure mbili japo sizifahamu kwa sura, midomo yake inafanana sana, halafu zote sizipendi na ndicho chanzo cha kuzichanganya.
 
Asante Mkuu ni Masao Bwire, hizi figure mbili japo sizifahamu kwa sura, midomo yake inafanana sana, halafu zote sizipendi na ndicho chanzo cha kuzichanganya.
hao wawili kwa kusogoa kama mbwiga, wamebarikiwa.
siku timu zao zkikutana, sijui wataongea nini.
 
Sub ya simba ya Leo
1. Bertram Mombeki
2. Ramadhan Combo
3. Abuu Hashim
4. Edward Chrispher
5. Abdulkharim Humid
6.Henry Joseph
7. William Lucian
 
Like.Hivi!msemaji wa waarabu alisemaje jana?

Baada ya ushindi mkuu nilichikichia viwanja kujirusha, sikusikiliza ama kutazama chombo chochote cha habari na leo sijasoma gazeti lolote. Mwenye taarifa atujuze.
 
hahahahahah,,,,,,,,,eti wafyeka vichaka....!

Hahah mkuu kuna jamaa jana waliokimbia kung'oa visiki huko Bunju wameingia uwanjani Taifa kung'oa viti...
 
kipindi cha pili kimeanza...ruvu wanafanya mabadiliko...
 
utasikia msimu ujao yanga wanaleta mizengwe wamsajili.

Simba ni feeder club. Inakuza wachezaji ili timu kubwa wawanunue. Tatizo hata hilo linawashinda maana wanafanya biashara kichaa. Ya Okwi na Kapombe!!
 
Back
Top Bottom