Live updates: MTVMAMA Awards 2015!


kwanza ameambiwa neno gani la kashfa jokate leo?!sijaona neno baya aliloambiwa zaidi ya mtanyooka tu!nashangaa amejiongeza maswali na majibu kibaoo

Anajiuliza mwenyewe,anajijibu mwenyewe,anashangaa mwenyewe na kujionea huruma mwenyewe
 

Hahahaaa yaani kati ya watu ambao sitakagi kuwachamba ni hiki kidada kinachoitwa kidoti chenye kidoti kama mimi! Kwasababu huwa naheshimu the fact that the dudette huwa anahangaika na maisha yake. Japo unafiki wake ninaufahamu fika!
Ila kwakuwa kakitibua leo lazima tulale nae. Hhahaha ila vichambo vya watu mi sina hamu!
 
Jamani huyu Jokate amefanyaje? Naomba kujurishwa maana sikuwa karibu na social network wiki hii kutokana na majukumu. Naomba summary.
 

jokate ndio kachemsha zaidi mbrlaz eti kadai kideo cha mwaka jana ligazeti lake limejaa wivu, bikra wa kisukuma kamshushua ni ya Feb mwaka huu, alikuwa anajigonga kwa Chibu kupitia watu naona yupo bizi na Zari alichuniwa as hakumrusha kwenye insta yake. akasubiri wee Chibu harushi ndio akaamua kukimbilia kuonyesha yeye bingwa wa kuomba asipigiwe kura na kuongea kwenye redio eti yeye kafanya akose za ktma na picha wakapiga na wema...naniii na mahaba hawayaoni kwa wengine. sasa kapatikana chezea Chibu na akili mingi kumbe aliiweka kideo. mume wa Zari huyoooooooo.
akome na analo

na kuna walio mtafuta Chibu juzi na meseji sema Zari hajawaanika tu
 

Kuna mmoja kaambiwa na bado mtanyooka...anatokwa na povu balaa😀😀
 

Hata mimi nilikua namrespect sana jokate!ila alivyoanza uozo wake wa fitina na majungu nikamdharau,leo ndio nimetukana kabisaaaaa tena sana tu maana kashanichosha na unafiki wake,anajifanya anamuiga wema wakati wema yule kichaaa kilishakolea kichwani!!

Jokate hajui kama yeye ni mfanya biashara na anatakiwa asionyeshe ushabiki sana kwenye mambo ya muziki,itakuja kumcost siku moha kibiashara haya mambo yake ya kitoto anayoyafanya!!
 

huyo leo analo wivu wa mahaba umemjaaaaaa anamtamani Chibul leo mmmh anamalizwa insta
 

Hahaaaaa anakwambia its too late to apologize sisterii hahaaa napendaga macaption ya Tommy hatari
 
Hahahaaa nimecheka Romy alivyojibu jamani! Eti huyo kidoti anamuuliza Babu tale hadi wewe? Kwani Vepeeee ye alitakaje? Afanye unafiki afu tumchekee au? Hapa za Uso tu kwa kwenda mbele ukimind tembea uchi kama Shardcole.

Huyu shardcole tunamsubiria toka mrn hapiti anatufanya sisi mashababi kua kma kk tunauza sura hpa.....wa2 wana hamna nae mwambie afanye hima
 
Last edited by a moderator:

Ahahahahahahahh usniambieeee???!mbona umbea raha jamaniiii!kila siku nasema mimi kama mwanaume unampenda basi mvumilie usimuache mpaka uachwe!Ukimuacha mtu wakati unampenda ni kujipa mzigo wa mawazo na pressure hasa akipata mkali zaidi yako.

Ameumbuka leo jamani mtoto wa watu
 

Pongezi nyingi kwako hutetereki n maneno y timu wajane.....kma namuona pale singida anakunywa zanzi kwa fujo kupunguza stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…