Yani like serious???
ahahahahhahahahhaahhahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa!!😀😀😀😀😀😀
hahaha.! Niambie.
Mkuu amepotea kabisa au yupo na supportive ID nin?? hahaha
Hilo onesho la kutembea uchi ni saa ngapi? Nisijekupitwa bureeeee
Hahahaaa usisahau kupiga picha unitumie wasapu! Can't wait to see vitako kama viandazi vya Bhakhresa teh teh! Cc. Shardcole
Naona domo ana behave accordingly, just like a Star and a realman....Zari akikosea tu akaja kuachana na huyu, maisha yake yote atanyanyasika.
Anataka kiti cha nini?
Si wameshampa cha kulinda maliasili? ?
Diamond kwenye account yake ya insta amemuumbua mchawi wake jokate... Hahaha
Akaungana na zingifuri teh, wakati ye alivopata dili ya wachina dai akapost kumpa hongera, alivotoa wimbo wake dai akapost tena kumpa hongera....
nimependa kwakweli
Hongera zake Diamond na familia yake. Na sisi mmoja mmoja tuongeze bidii kufikia mafanikio yetu binafsi. Ni hayo tu.
Diamond kwenye account yake ya insta amemuumbua mchawi wake jokate... Hahaha