Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Wakuu tiliopo dar kuna shortage kidogo hapa tunaukosefu wa pikipiki tatu kwaajili ya nduguzetu kutoka team kiba ambao wameona ni busara kujumuika na sisi kwenda kumpokea airport abou sydou nitampa yangu bado pwilo na Shardcole
cute b mbishi eti na yeye anayaka yake anaweza kuendesha hahhaha huyu nitakuwanae mimi front line

piga keleleeeeeeeeee
Hail to the king of Afro pop

Mkuu mimi nataka honda au baja au boxer.
Alafu mimi na wew na el nino tutashikana mikono kama ishara ya upendo.
One love mkuu
 
Last edited by a moderator:
Insta kumekucha, baada ya chibu kuchukua tuzo za mtv na katika kuonyesha pamoja na juhudi za upande wapili kuamua kusapoti wapinzani wake kwenye kategori alizoshiriki
Chibu amedaka video live mmoja wa mahasimu wake akiserebuka wimbo wake wa mdogomdogo
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    34.8 KB · Views: 723
Diamond Platnumz ndio mtumbuizaji bora barani Afrika. Hitmaker huyo wa Nana jana alishinda tuzo ya Best Live Act kwenye MTV MAMA Awards zilizotolewa jijini Durban, Afrika Kusini.

Muimbaji huyo ambaye pia alidondosha show ya kukata na shoka kwenye tuzo hizo akiwa na msanii wa Nigeria, Flavour na kuimba hit yao, Nana, amewashukuru watanzania na wengine waliomwezesha kushinda tuzo hiyo.


"Shukran Kubwa sana Zimfikie Mwenyez Mungu kwa Tuzo hii, na pia Shukran za Dhati Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu wote #TeamWasafi kwa kunipigia kura na Kuhamasisha kwa Nguvu," ameandika kwenye Instagram.

"Niushkuru sana Uongozi wangu, Familia pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers wangu kwani Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza kuletaTunzo hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani…lakini pia Shukrani za kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo na Malezi anayonipa kila siku juu ya Dunia," ameongeza.

"Na Shukran tena za kipekee na aina yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu zarithebosslady Kwa raha na Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa M'bunifu kwenye kazi.. #BestLiveAct #Mtvmama2015 Asanteni sana."

11199470_1002922379731138_968098397_n.jpg


 
wapo tuu tena allykibaka amewatilia mikosi sana wenzake Vanessa na Chameleone!!yeye na tuzo za kimataifa wapi na wapi mpaka ajifanye kuwapigia promo??nuksi tu na mikosi amewapa wenzie bora angefunga kibakuli chake tu labda watu wangeshinda

Najitolea vinegar dozen moja kwa kila mfuasi wa team kiba....inaondoa kichefuchefu fasta kuliko ndimu,pia vinegar inatibu minyoo,kukuza hips,kutoa michirizi.
Pia inasaidia kumfanya landlord wko asikufukuze kwenye nyumba yke hata kma hujalipa kodi ya miaka 2
 
Back
Top Bottom