Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Ndo basi tyenaaaaaaaa. haters pyeeeeeee, msubiri ianzishwee category ya mwanamuzuki mkongwe chipukiziii....Ndovu mwisho kimaraaaa Africaaaa yoteeeee Sankorooooooo....Kama Ronaldoooo....

Tuzo ya kufanana na Bush man
 
Halafu huu ungese wa kusema Diamond katokea Togo itabidi watuombe radhi.. Kwa wale mliokuwa mnaangalia perfomance ya chibu..

Hivi hawajui tunaweza kutangaza mapumziko ya Taifa kwa siku 3 kwa ushindi huu halafu wanafanya errors kama hizi

Mkuu holiday inaanza lin??
 
Moja yatosha kwa mwaka huu MAMA AWARDS, Nina imani mwakani NANA haitatutosa.!
attachment.php




Woyyooooooooooo, Duh huyu Dai angekuwa mume wanguuu huyuuuu, kwa jinsi alivyonipa rahaaaa Leo ningemla na maganda yakeeeeee.......
 
Davido - nominations 4 kapata 1
wizkid - nominations 3 hajapata
Diamond - nominations 3 kapata 1
AKA - nominations 3 kapata 1

East africa wasanii 5 aliyepata ushindi 1 Diamond
Hakika huyu ni muwakilishi wetu mzuri sana...

Hail to the king diamond
 
Last edited by a moderator:
Nauliz hiviii..
Wale waliokuwa kila saa wananiita ni waliniita nije nione domo alivyo mnenguaji bora kama shilole au?
Davido bhanaa hahahaaaa
 
Hongereni mkuu.
Domo sio mwanamuziki ni dancers..
Hamna tofauti kati ya domo na mose iyobio hahahaaaaa

Ha haa bebe...kura zenu zote zungeenda kwa chib si ingekuja home hii?? Thoo davido yupo njemaa zaid..
 
Back
Top Bottom