KIBAKULI yupo manyara analinda ndovu, hahaha
Hahahaaaaa acha tulinde tembo wew.
VIPI HII HAMKULOGA? NA KUVAA KOTE SUTI MNAAMBULIA YA UNENGUAJI TUU.?
KAIWAKILISHA TANZANIA VYEMA KWENYE MAMBO YA KUKATA MAUNO.
KIBAKULI yupo manyara analinda ndovu, hahaha
piga kelrleeeeeeeeeeeeeee hahahahaha team kimba wamekaaaaaaaaaaa maniiina mlifikiri basata wale?? best live diamond
Na baada ya hapa tunapandisha dau kwashow 1 mil 100
davido alikua kweye category nne 4 na ukichanganya na ile ya collabo yake na uhuru zinakua tano5 lakini amepeta moja tuuuu mtv base sio masikharaa
Hahahaaaaa acha tulinde tembo wew.
VIPI HII HAMKULOGA? NA KUVAA KOTE SUTI MNAAMBULIA YA UNENGUAJI TUU.?
KAIWAKILISHA TANZANIA VYEMA KWENYE MAMBO YA KUKATA MAUNO.
Hivi mpumbavu kama wewe umecheki shoo umeona wanigeria wanavyo support mziki wao.na walivyo wengi kwenye nomination za MTV?alaf unamponda mtu mmoja anaye wakilisha nchi..ujinga mtupu
Hahahaaa ndio ni Singida lol! Watu mna matusi eti akapige show olyampit! 😂😂😂😂😂😂
kuvua nguo na kubaki uchi jukwaani ni masharty ya tale aloprwa na babu yale wameacha sasa hivi wanavua t shirt tuNa ile walivua nguo jukwaani wakabaki na vyupi...
Chezeiyaaaaa wanaanzaje kukosa ya unenguajiiiiiii?
usituleteee zako jombaaaaaa kama imekutach andamanaaaaaaa
nilitaka nilale ila nimeghairi maana naona tushaanza kuwangiwa!
Ndo tushachukuaaaaaaaaaaa hawataki wakakate rufaa!
Cheketua labda akapige shoo oryampiti singida
Nilitaka nilale ila nimeghairi maana naona tushaanza kuwangiwa!
Ndo tushachukuaaaaaaaaaaa hawataki wakakate rufaa!
Sipo kwenye mood leo ya kujibu vibaya niache na furaha yangu.
Kwani Nigeria sio Afrika?
Ebu kuwa mzalendo wew hahahaaaaa mapovu ya nini?
Woyoooo...
Alipo davido domo hapumuiii