Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Alichukua bwana tembo afisa wa mambo flani ya ivory ambae hadi Leo video yke haijawahi onekana mtv base n kule trace wanaipigaga mida saa nane au Tisa ucku cku izi

Mr Ivory.....
 
Nasema hiviiii.
Tuzo ni kama madini zimetofautiana hadhi...
Hadhi ya DOMO NI KUNENGUA TUU HAMNA NAMNA.
DAVIDO NI MWANAMUZIKI BORA NDO MAANA DAI ALILIJUA HILO MAPEMA AKAWAHI ILI ATOKE KIMATAIFA.

Ni kweli mamii but next tym ushow loyalt to your nation....
 
Cute b usiku mwema... Ila sikuachi hivi hivi.. Nakuacha kwa hisani ya ndimu 15 na malimao 7... Akija bebe wangu nifah unisaidie kumpa ata kidogoo agaa kidogo.

Hahahaaaaaa usiku mwema mkuu...
Lala ila usisahau mwanamuziki bora ni Davido hakunaga kama davido Afrika nzima...
Mwanamuziki bora wa kiume ni kiba.. hakunaga kama kiba tanzania nzima. nifah yupo anacheka tuu bwahahahaaaaa mnenguaji bora
 
Last edited by a moderator:
Ally kiba ameingiaje au ndo unaamka ndotoni

Unamuongelea huyo pimbi kiba ana nini, tuzo yenyewe walipeana kimagumashi. .hana chochote halafu nyie fans wa the so called pathetic kiba mnatutaftia ban "endeleeni kushear idea na wagumba wachawi nyie"
 
Haha yamekushuka wewe asee.. Sema nini karibu tunywe hapa tusheherekee wote

Mkuu shikilia hayo mashavu vizuri.... alafu usikunje ndita banaaaa yaah smile kidogo mchumba asije akakukimbia...
Aya mwanamuziki bora wa kiume ni davido afrika nzima.
Anaiwakilisha Africa vyema...
Uzalendo hoyeeeeeeeeee
 
Asikuangushe king wako ambaye hata nomination hajaambulia akuangushe diamond Pyeeeeeeeeee!

Kwani king wako kachukua ngapi? hahhahha kama nawaona mnavyotafuta pa kufia! East Africa nzima tuna tuzo moja tu hutaki achaaa!
c uzalendo mi ni mzalendo na nimempigia kura domo
 
Unamuongelea huyo pimbi kiba ana nini, tuzo yenyewe walipeana kimagumashi. .hana chochote halafu nyie fans wa the so called pathetic kiba mnatutaftia ban "endeleeni kushear idea na wagumba wachawi nyie"
sijamwongelea kiba,mi nimesema mtumbuizaji bora kwa vigezo gani,ndo huyo hapo juu anaropoka kuleta story za kiba kwamba anaingiaje
 
Back
Top Bottom