el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
kuvua nguo na kubaki uchi jukwaani ni masharty ya tale aloprwa na babu yale wameacha sasa hivi wanavua t shirt tu
Mwambieni na msanii wenu avue basi... Si aliambiwa kuwa na Jokate ndo Uganga
kuvua nguo na kubaki uchi jukwaani ni masharty ya tale aloprwa na babu yale wameacha sasa hivi wanavua t shirt tu
vipi san siro leo biashara hailipi ?
Wewe shoga tulia niliyemquote mwengine unajibu ww
Mi ckazagi 0713
Nipotezee[/QUOTE
acha mambo ya kishamba we boya platnumz kuchukua hyo tuzo umenuna mtoto wa kiume aya tuwekee video ya mr flavour na diamond wakiwa wanaperfom i mean moja ya chibu nyingine ya flavour wanaume hatupo hvyo we boya unapinga ushindi wa mwanaume mwenzio adi mishipa inakusimama
Hahahaaa kama vile nakuona mashavu yalivyokushuka
Pilau lote ulilokula lazima uharishe.. Maana digestion ishaharibiwa kabisa na ishindi wa Dai... Poleee mamaa uparato unakubana
katika wasanii wa kiume milioni moja Afrika diamond yupo katika top 5.huu ni ushindi tosha kwetu
nashukuru davido hajaniangusha woyoooooo obo baddestKama kawa kuna hizi sijui za wapi na davido yupo....
Vote for davido...
Uzalendo hahahaaaaaaa
mtv hatari sn ila hatimaye diamond baada ya mwaka 2010 n 2014 kukosa tuzo za mtv this time katoka nayo 👏👏
kuvua nguo na kubaki uchi jukwaani ni masharty ya tale aloprwa na babu yale wameacha sasa hivi wanavua t shirt tu
andamanaaaaa ndio tushashinda saaaasaaaaa hutaki andamanaaaaaaaaaaaaaa
Eti nkumbusheni, kwenye KTM mnenguaji bora alichukua nani vile?
Mwambieni na msanii wenu avue basi... Si aliambiwa kuwa na Jokate ndo Uganga
nlitaka domo achukue zooote tatu ila kaniangusha saanaaaKwani ulitakajeeeee? Mbona unalia lia?
Namuonea huruma.... Na kubana kote kule na kumpigia davido kura zote zile ila wote na dai wamepata kura moja moja
Eti nkumbusheni, kwenye KTM mnenguaji bora alichukua nani vile?
Hahahaaaa jamaaa ni mnenguaji mzuri.
TUZO YA HESHIMA KWA DAVIDO...
WOYOOOOOOOOOOO
Kuandama wanaandama wadada Wa San siro like yo