Maskini vanessa analiaa
Hii live updates imedhaminiwa na nani?
mpaka analia masikini
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
I can see how happy you are
Best Male Hiyooo
zamu yenu sasa kushangaaa, lakini hamuwezi kutuzidi sisi jamani kitendo cha kiba kupewa best performer of the yearwhile we all know ni diamond tunashangaaaaa mpaka leo, so its your turn kushangaaaaaa, muosha huwoshwa, mliona raha sana kumfitinisha diamond kwenye KTMA eeeeeh!!!! sasa kwenye MTV no fitna its the matter of who deserve it what.
Maskini vanessa analiaa
Mkuu hii safari yako ni utaifanya lini??
Huyo mtoto shardcole atakuwa kakalia magimbi au sukari,hivyo anawashwa au anasikia utamuuDon forget what you promised....! you will walk naked...to posta
Ilo muhimu lazima kumpokea icon wa taifa
Wamenibania mi nacheck online ila imekata kuna mwenye tatizo kama langu
Wekeni update kwenye uzi huu
View attachment 269193
japo naomba ashinde diamond...ila hilo kundi ni gumu sana....hata akikosa ni sawa tu