Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

mama evolution kachukua d banj...

Hapa ndio nimegundua kura sio kila kitu coz searches za hastags mpaka mwisho dbanj alikuwa na 19,000+ wakati j chameleon aliwagalagaza na 72,000+

so sad na ndio waliokuwa supported by wema na kiba

yeah hili ni pigo moja takatifu kwao
 
mama evolution kachukua D banj...

Hapa ndio nimegundua kura sio kila kitu coz searches za hastags mpaka mwisho dbanj alikuwa na 19,000+ wakati j chameleon aliwagalagaza na 72,000+

So sad na ndio waliokuwa supported by wema na kiba

Searches na hashtag ni kura??
 
Jhene aiko kapoa sana na wimbo wake utadhani anatumbuiza kwenye arusi
 
Thankyuuuu hatimaye sikukuu..imeisha vizuriiii saana..lol..

Kwanza siku yngu leo ilikua na furaha sana!nashangaa kufika saa tatu presha ikaanza kunipanda duuuuh!kijasho kilinitoka,nikawaza tukikosa hata moja itakuwajeeeee!!!nashukuru sana tumeshindaaaa
 
hahahahahahahahaa shardcole i love u know, your the base of diamond maendeleo in NEGATIVE WAY U KNOW??? hata mkono wa kulia huwezi fanya kazi vzr bila support ya mkono wa kushoto u know???? haters tunawapenda, kwa ushirikiano mnaotupa daily.

I can see how happy you are
 
Walah kweli Africa bado sana kupiga hatua, eti Dai ni best live than Mr.Flavour? Eeh mola irehem Africa inayoangamiza vipaji vya vijana wako.

Acha utu mbili ww acha ujinga wa kijijini kwenu hayo mambo yako ya team peleka ktma hapa ni intrnational mambobya team ni humu humu ,mm mbona namkubalia kiba ila. Kwenye tuzo hizi hayupo so majeshi nikaamishia kwa diamondi cozi ni made in tanzania sasa unachosema mista flavor ni ba ba ako acha ishamba wakimang, ati sifia cha kwenu nyie ndio wale mnauwa viwanda vya nchini kwenu kwakununua bidhaa nje ya nchi umenikera sana pu.. Mbavuuuuuu
 
Kwanza siku yngu leo ilikua na furaha sana!nashangaa kufika saa tatu presha ikaanza kunipanda duuuuh!kijasho kilinitoka,nikawaza tukikosa hata moja itakuwajeeeee!!!nashukuru sana tumeshindaaaa

Yan sijui tuu wangesemaje wale watani wa jadi.....
 
Back
Top Bottom