Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Hicho kidonge kwenye tangazo la gari Fiat nataka na mimi niweke ktk fuel tank
 
Mkuu dstv ipo ila tatizo nimezima tv ili nisiendelee kuangalia hujuma zinazofanyika huko mtv eti dai is more than mr.flavour? Duh

Poor black mother

Si Ndo Hapo,africa Hatuwez Kuendelea Hujuma Kila Kona Sauz Mpaka Bongo Eti Kiba Ni Best Live Zaid Ya Chibu.Halafu Chibu Ni Best Live Zaid Ya Mr Flavaur? Sio Fair!
 
Hana sababu ya kulia, she's a winner. Kuwa nominated tu ni changamoto kwake akaze buti. Yemi Alade tayari ameshajijenga.
 
Dbanj,davido and uhuru kwa stage nowwww--fall in love
 
Mkuu dstv ipo ila tatizo nimezima tv ili nisiendelee kuangalia hujuma zinazofanyika huko mtv eti dai is more than mr.flavour? Duh

Poor black mother

We ni mjinga wakati hapo juu ulikuwa unaulizia upewe updates?
Usikute hata hiyo tv huna, manake mashabiki wa kiba ni reflection ya boss wao
 
Maskini vanessa analiaa

Mwache alie kazoea vya mtelezo huyo, heri kidogo hata Mondy juhud huwa anaonesha at least japo hata naye kabebwa lakin atleast anajitahid kutembelea nyota za wanaija. Lakin sio huyo vanesa mnayempa kichwa bure.
 
Ahahahahahaa endelea tu kujipooza machungu maana leo hali ni mbaya sana kwako
 
Back
Top Bottom