Wakuu tupeni updates mbona kimya tujue mbivu na mbichi
Kwanza siku yngu leo ilikua na furaha sana!nashangaa kufika saa tatu presha ikaanza kunipanda duuuuh!kijasho kilinitoka,nikawaza tukikosa hata moja itakuwajeeeee!!!nashukuru sana tumeshindaaaa
Wakuu tupeni updates mbona kimya tujue mbivu na mbichi
Kituzo chenyewe kimoja tu, hapa fitina zimefanyika walah hiv kwel Dai best live Act than Mr.Flavour? Haingii akilini ujinga huu.
Shame shame to mtv
Don forget what you promised....! you will walk naked...to posta
Update ni kwamba kiba bado yupo kwao
We za kwako zimeshaiva? Na umeshaliwa tayari kama ulivyo ahidi kuuza kalio Posta
Pole jamani kipenzi, am trying to be into your shoes, inafurahisha hadi inaliza jamani!
kumbe uko maskini hivi hata DSTV huna
Leo ndo uzalendo unatajwa hongera mtanzania mwenzetu ha ha ha sipati picha comment zingekua audio, hizo sauti za majonzi weraaaaaa
Tatizo nyota, mgaga wa domo, mkali kuliko ws raisi ws Tanzania