Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

kona imepigwa kuelekezwa lango la timu ya simba lakini ni goal kick
 
Tambweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee laaaa filimbi imelia nadhani ni off side
 
Simba inabidi wakaze waambulie kifutajasho wenzao wana uhakika za nafasi ya pili japo tii elfuelfu watazikata kulipa deni la kina Ndlovu.
 
dk 43

'pambano la kirafiki kati ya Yanga na Simba ni BILA BILA'

"hakuna wa kukosa, wala wa kupata!"
 
Yanga wanapiga faulo pale na inatoka nje na ni goal kick
 
Mpira ni mapumziko, hakuna aliyeuona mlango wa mwenzake, tusubiri kipindi cha pili, karibuni kwa uchambuzi
 
Back
Top Bottom