Pongezi kwa updates zako Mkuu Skype.
hiyo ndo SIMBA bwana.Dak 45 za kwanza timu zote zimecheza mpira unaofanana japo Simba wamejaribu kuonyesha uhai kiasi.
Ila yanga inabidi wajipange katikati maana pameonekana kupwaya kiasi hivyo kutegemea mpira mirefu ambayo mwisho wake haina madhara.
hiyo ndo SIMBA bwana.
hiyo ndo SIMBA bwana.
Hawa Simba wenyewe huikamiaga Yanga tu
Mfungaji bora analipwa shng ngapi?
Na leo yanga hawachomoki....!Hawa Simba wenyewe huikamiaga Yanga tu
.....sasa unafikiri kuna nini cha kutisha.ikifika dk ya 80,uje na useme ivo
Pamoja sana mkuu.Karibuni tena ndugu wanajf ktk kipindi hiki cha lala salama kati ya simba na yanga, niko nanyi ktkk kuwaletea dondoo. Napenda kuutambua uwepo wa idawa, OKW BOBAN SUNZU, Katavi, Sizinga, na wengineo wote waliobaki. karibuni.