Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Naona simba wanaonyesha uwezo kiasi hapa dakika 30 bado mipango migumu.
 
Goooooooo laaa hapana , simba wanakosa bao tena, duu simba leo wanaonekana kushambulia sana
 
tambweeeeeeee daaa anakosa gli hapa, wanaokoa yanga tena
 
Simba wanacheza mpira mzuri japo wanashindwa kumalizia.!
 
dakika inakwenda ni ya 35, hakuna aliyeweza kuliona lango la mwenzake, si simba si yanga
 
dak inakwenda 37 bado milango migumu.
 
Mapunda anaonekana kaumia, anageukageuka hapa, ngoja tuone
 
Ivo Mapunda anagangwa kiuno pale mpira umesimama kwa muda.
 
Back
Top Bottom