Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Oska joshua anaosha mpira uliokua ukilinyemelea lango la timu ya yanga
 
Mpira ni wa kuviziana na inaelekea wote wnaogopana
 
Wanakwenda pale yangaaaaaaa..... simba wanaokoa hapa na wanalielekea lango la yanga sasa
 
Ni saimoni msuva anakwenda kupiga faulo hapaaaaaaa ....., anachuku adidieeeee looo ni off side
 
dakika inakwend ni ya 24 bado mabao ni bila kwa bila
 
Wanakwenda pale yangaaaaaaa..... simba wanaokoa hapa na wanalielekea lango la yanga sasa
Yaani mpira unachezwa kwa kasi ndogo hivyo ya kukuwezesha kuandika kwa keyboard kama hivyo?
 
tambwe, yondani, ... singano anampa msuli anashindwa kusonga mbele
 
Yanga matokeo yoyote ya mechi hii hayawabadirishii chochote zaidi ya heshima tu lkn Simba akichapika ataruhusu vile vijisent alivyovizoea vya mshindi wa nne viende kwa kina MBWENUU kule Kanyigo.
 
messsi w simba (Ramadhani Singano) anakosakosa kuipatia simba bao la kwanza,
 
Back
Top Bottom