kama Yanga inavyo-ikamiaga Simba.Hawa Simba wenyewe huikamiaga Yanga tu
matokeo vp
Mpaka sasa ni bilabila....matokeo vp
kama Yanga inavyo-ikamiaga Simba.
Hawa Simba wenyewe huikamiaga Yanga tu
Sayansi ya asili,,,Kwani huyo Ivo si kuna mechi alikatazwa kwenda na hilo litaulo lake golini?
Anajifanya yeye ndio anatoka jasho jingi kuliko magolikipa wengine ama?
Sayansi ya asili,,,