Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Wewe achana namimi kwataarifa yako tu, sina ushemeji nawewe. Na tuheshimiane wewe na huyo mwenzako ndio malimbukeni sukuma reli hamuoni inaleta tatizo? kuna sehemu nimeandika linafanya goli lisiingie? Furahi sasa huyo mmoja ni golikipa wa Man City na mwingine Real Madrid. Na tumerudisha pambafu

sisi wanamichezo huwa hatutumii jazba dada yangu,hii sio mipasho ni kufahamishana tu..! Duh...kaaaaz welikweli...mbona mimi mwenyewe sio shabiki wa soka la bongo kihiiiiivyo....anyway,yaishe bibie...nikiendelea kubishana na mwanamke nitakuwa nawadhalilisha wanaume wenzangu dunia nzima....!
Karibu!!
 
Cha ajabu na cha kujiuliza hapa ni kwa nini huo uchawi wao hauwafikishi kokote kwenye michuano ya kimataifa?

ni kwa sababu ni mambo ya kufikirika zaidi kuliko utaalamu! hata shamba linaandaliwa kwa utaratibu mpaka kuja kuvuna mazao sahihi na ya kutosha!
 
ni kwa sababu ni mambo ya kufikirika zaidi kuliko utaalamu! hata shamba linaandaliwa kwa utaratibu mpaka kuja kuvuna mazao sahihi na ya kutosha!

Kama hivyo ndivyo kwa nini club za hapa nchini wametanguliza hayo mambo ya kufikirika badala ya kuwekeza kwenye utaalamu?
 
Back
Top Bottom