Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Dr Slaa anasema Serikali imerisiti kimya kimya kwani tulizoea kuona wanafunzi wakirisiti,kwa maana hyo serikali ya CCM inataka kuandaa wataalamu Mbumbumbu
huyu mama angetulia tu na ndoa yake kuliko kujidhalilisha hivi du ndio kituko gani hicho alafu ni karata anacheza mpaka sasa amelamba dume manake alitegemea 2010 awe first lady hovyoo sijui atamrukia nani 2015 ngoja watuletee mgombea hapa tutajua. :heh:he he heHakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
mkuu Kilaga achana na Mlibelali huyo a.k.a Mlesiabiani....
achana naye... najua anaumia kuona huo umati, ambao umekuja wenyeweeeee kwa gharama zao mbali ya umaskini walio nao, hapowamekuja bila kuahidiwa buku5, bila khanga, wala kofia, wala chumvi, wala malori ya kosomba watu,
View attachment 95947View attachment 95948View attachment 95949View attachment 95950
hapo hakuna cha maro, wala barnaba wala muonyesha makalio a.k.a domo daimondi, wala cha wote lina (tobo)
huyu mama angetulia tu na ndoa yake kuliko kujidhalilisha hivi du ndio kituko gani hicho alafu ni karata anacheza mpaka sasa amelamba dume manake alitegemea 2010 awe first lady hovyoo sijui atamrukia nani 2015 ngoja watuletee mgombea hapa tutajua. :heh:he he he
wapi picha?
Asante sana MPANDA Jr Mamilioni ya watanzania tunakutegemea kutuhabarisha kila kitakachotokea hapo.