LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

Jamani Molemo, Mtoi na Makene tunaomba mtupie vipicha hata viwili vitatu jamani!
 
John Mnyika, jiandae kuachia jimbo Ubungo kwa hali nilioyoina Manzese.
 
Hivi ndiyo mmegoma kuweka picha Makamanda.

Tumeanza na Mungu tumemaliza na Mungu.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Hawan sehem nyngne yyt ya kujdai zaid ya ubungo...na tumewachoka waimb taarab
 
Ivi kweli SLAA anaweza kuwa RAISI wa nchi hiii???? chadema kuweni SERIOUS basi...
 
Makamanda picha basi kha!
Peoplesssssssssssssss!
Picha picha picha jama!
 
lile bomu la arusha serial namba zake zilionyesha linatoka china je?kuna mwenye taarifa za s/n zilizopatikana iliuziwa idara gani/nchi gani
 
Mkuu tumezoea utaratibu wenu wa kutupasha habari huwa mnaweka picha kwenye mikutano yenu...kama kuna tupicha tupia kamanda.

Nilijua angalau ungekomaa na kuwatetea wakubwa wako walivyo andika utumbo kwenye waraka wenu wa siri lakini umekomalia picha kana kwamba hujaziona kwenye hii thread. Zitafute zipo sio mtihani wa hesabu huo kuwa utapata F.

Mtu makini angejali hoja na mantiki zake kwa mustakabali wa Tanzania yetu, hata hivyo hapakuwa na watoto kama mkutano wa Njombe, ni watu wazima na hoja zenye mizani.
 
Back
Top Bottom