Ukiona hakuna picha za watu, ujue LISHADORORA HILO!
Mimi sina mkubwa wangu humu JF wala situmwi na mtu kama wewe unavyotumwa na Dr Slaa na Mbowe.
Jama makamanda mwageni picha basi ili tuone kama mlikuwa mna hutubia miti au watu. Teh teh teh!
Wewe ndo umedorora watu nyomi mambo yaliyosemwa ni mazito kwa mstakabari wa nchi katiba imechambuliwa na maccm wengi waje wajibu hapa kada maccm kavua gamba hadharani nataka nikuambie ccm wameangukia puaUkiona hakuna picha za watu, ujue LISHADORORA HILO!
Hii picha kamaya gaidi flani hivi
Mimi sina mkubwa wangu humu JF wala situmwi na mtu kama wewe unavyotumwa na Dr Slaa na Mbowe.
wale vijana wa kukilinda chama vp wapo
Mkuu waambie wasisahau matamko.
Wengi sana wewe ungeon feature presdent fp anavyosindikizwa kwenye gari we acha tu yaan ni raha tupu kweli chadema inaendwa
Wewe kauzu kweli hao Chadema kwako ni mitume hebu chukuwa hii.Ungekuwa hutumiwi na mtu basi usingeandika upumbavu unaoandika humu kila kukicha. Huoni kama Serikali ya DHAIFU imeshindwa kazi katika sekta nchini!? Huoni kuanguka kwa Elimu? Huoni mikataba ya rasilimali zetu ambayo haina manufaa kwa Watanzania!? Huoni rushwa na ufisadi jinsi unavyoitafuna nchi kwa kasi ya kutisha!? Huoni uhasama unaopandikizwa na gaidi, mzushi na muaaji mwigulu!? Kama haya yote huyaoni basi utakuwa ni punguani wa hali ya juu ambaye anastahili kabisa kutibiwa tena haraka sana. Pole zako nyingi, pita baadaye kule Lumumba kwa manyang'au wenzako ukachukue mshiko wako wa buku 7.
Habari zenu wanajf:
Walikwepa sana kujitokeza kuzungumzia sakata la Kukiuzia chama magari chakavu(Fuso).Leo naomba Mbowe na Dr.slaa wajibu kwanini wameidhinisha kununua magari ya chama kwa bei kubwa kupitia kampuni ya MTEI LIMITED?
Mbowe na Slaa wamepitisha si kwalazima bali jeuri yao ya ubabe kuidhinisha tenda kampuni ya Mtei kwenda china kutengeneza pikipiki zenye lebo ya CHADEMA kupitia kampuni ya MTEI LIMITED yenye ofisi zake Mkwepu road(city centre)?.
Watanzania Dr.slaa na Mwenyekiti wa chama cha chadema wamefanya lebo ya pikipiki kwa gharama za TSh:Million 1 kila lebo nje ya kununua pikipiki husika,Je huu si ufisadi?.Kampuni iliyopewa tenda ni co-neccted na mwasisi wa chama.
Kampuni hiyohiyo imepewa tenda za kununua magari ya chama(Toyota-Pickup) kwa gharama za juu,
Kampuni imeimport magari na kusimamia usajili wake.Je kunanini kimefichika nyuma ya pazia?.
Mbowe na Dr.slaa kuna mikoa na wilaya ngapi chama hakipo?Kuna wilaya ngapi ruzuku haifiki?
Leo mnagharamia Lebo ya pikipiki kwa tsh:Million moja kila piikipiki moja?.Ni lini tutakuwa na dhamira ya kweli ya kuimarisha chama taifa zima?.
Wana jf hii ni ruzuku ya chama inaliwa kwa mtindo wa kuweka lebo pikipiki na kupeana tenda feki.
Chama chenye nia ya kuishi miaka mingi zaidi mbele na kuchukua dola kingeendelea kuishi kwenye nyumba ya kupanga tena makao makuu ya chama.?Ruzuku ya chadema(wabunge+madiwani) ni zaidi ya Million 350 kwa mwezi.Je kwanini chama hakina kiwanja wala wazo la kujenga makao makuu yake?.
Tunaomba tusiwe wakurupukaji,Tuhoji mwenendo wa vyama vyetu.Tusipo wahoji wataishia kutuandamanisha bila wayfoward.
Mwisho:Form 4 mliofeli ni matunda ya uvivu wa wazazi,kupuuzia madai ya walimu na matumizi ya viambata-utandawazi.
Nikirejea nchini mwezi ujao,Nitafikisha hili mbele ya wajumbe wa chadema(kamati kuu)
Contact:hazinam8@hotmail.com
phone:+23(654 88 94)
facebook:Hamza Maulid
twitter Hamzamau
kama picha zingekuwa ni ushahidi mbona mauaji kama haya yaliwekewa picha na bado hakuna mlichofanya au nyinyi ni waumini wa mauaji ili kuendelea kutawalaView attachment 102144??...., mbona upuuzi wa kuteketeza milioni 300 kwa safari za kishenzi na kubembea kama hapo katika picha hakuna mlichosema zaidi ya kushabikia safari hizo za kijinga ziendelee...
View attachment 102146
Inahusu?