Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,950
- 46,442
mpuuzi huongea na mtu akianza kusema matumizi yake binafsi ujue ni wa msola au ni mbumbu kama wewe unaaibisha jamii yako
Nasikia kuna nyomi la kufa mtu Manzese, teh teh teh.
mpuuzi huongea na mtu akianza kusema matumizi yake binafsi ujue ni wa msola au ni mbumbu kama wewe unaaibisha jamii yako
Makamanda si mngeweka picha kama mnavyo fanya kwenye mikutano mkiwa Arusha na Moshi.
Mbona huu wa Dar hamuweki picha makamanda?
Wakuu.
Mtakumbuka kuwa leo ndio mkutano wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Ukombozi, Manzese, mkutano huo utakaohutubiwa na viongozi wakuu, CHADEMA kitatoa msimamo wake juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, pamoja na masuala mengine ya kitaifa.
Msafara wa viongozi wakuu ndiyo unakaribia kutoka Makao Makuu ya CHADEMA, kwenda eneo la mkutano. Karibu.
• Mama Rose Kamili anaelezea uzoefu wake alipokuwa CCM namna ambavyo CCM walikuwa wanachagua vijana na kuwapeleka kwenye makambi ya mafunzo ya ukakamvau huko Iringa, kwa ajili ya ulinzi.
Anauliza sasa CHADEMA kufanya hivyo kwa ajili ya kujilinda kwa nini imekuwa nongwa!
Amewataka polisi kuacha kutumika kama vyombo...
Kamanda Tumaini Makene anashika usukani na ataendeleza updates hapahapa.
Makamanda si mngeweka picha kama mnavyo fanya kwenye mikutano mkiwa Arusha na Moshi.
Mbona huu wa Dar hamuweki picha makamanda?
angalau umeonyesha japo chembe ya busara, ningeanika mambo yako yote hadharani! Picha utapata, wala usiwe na haraka.
Hayhaya huku Arusha hatukuogopa mabom tulijitokeza kwa wingi, wenzetu wa Dar msituangushe jamani
nasikia kuna nyomi la kufa mtu manzese, teh teh teh.
picha hazipigi kura ubungo ni ya chadema watu wamefunga tuliza boli utapata za madiwani wa chadema Arusha patamu hapo uvae nepi tu maana unajua kitachofuata
Hebu nitake radhi mie natumia laki 2 kwa wiki kwenye internet tu.
Angalau umeonyesha japo chembe ya busara, ningeanika mambo yako yote hadharani! Picha utapata, wala usiwe na haraka.
Shukrani mkuu...
Unaweza kutusaidia kupata hiyo kopi ya waraka wa CCM juu ya katiba, ukauweka hapa? Nasikia una kurasa kadhaa, naamini hamtashindwa kuuchapisha na kupata soft copy yake, mkaiweka online.
Thanks in advance...
Wajameni weka picha hapa!!!
A CNN reporter asked Mr. Obama this question as he was preparing to get on his plane to begin a journey to Africa: ''Have you ever heard about an opposition political party called CHADEMA?'' ''No. But the name sounds like a condom brand,'' the president responded with an uneasy smile on the face. I suspect he confused ''CHADEMA'' with ''CHADAME,'' which is the most popular rubber sheath among teenage boys in his hometown of Chicago.
ritz ebu niambie wawepo watu wawili hata miambili hapo wewe unapungukiwa nini???
Tangu lini ukaitakia mema chadema na watu wake??