LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

it seems u ar specialist on condoms,ar u a tester of them, please there is new condoms brands and 5guys wan 2 test dem IN ur butty can u give us ur mob no so we can order u to come an offer it.cz u look so special please,please,please dear PUBLIC TOILET.

ungeandika Kiswahili tu. Inawezekana ulikuwa na ujumbe mzuri tu
 
Mie nimeshakataa kushiriki mikutano ya CDM mPaka kikosi Cha kutulinda kiundwe. Niko alone vijana wengi wakisikia red-brigade wako tayari kujoin Hata Leo. Achaneni Na maneno ya waujaji ccm. They don't want you to protect yourself wawafanyie silent killing everyday
 
Wapi Mungi, tuwekee DVR.
 
Last edited by a moderator:
A CNN reporter asked Mr. Obama this question as he was preparing to get on his plane to begin a journey to Africa: ''Have you ever heard about an opposition political party called CHADEMA?'' ''No. But the name sounds like a condom brand,'' the president responded with an uneasy smile on the face. I suspect he confused ''CHADEMA'' with ''CHADAME,'' which is the most popular rubber sheath among teenage boys in his hometown of Chicago.
Inasikitisha sana pale mtu apojivua utimamu na kujivisha utahira,uzuzu na upunguwani kisa buku 7 ya kuendea chooni kwa siku.kamtanulie matundu yako ya chini mwigulu aliyekutuma you frogshit marmon.
 
Picha picha. Hii hapa sasa..


uploadfromtaptalk1373725543562.jpg

CC: Ritz, HAMMY-D, Razia Sweety,kimetah
 
Wajanja wameshawajuweni uwongo wenu hakuna jipya mnalowahutubia wananchi zaidi ya kupandikiza chuki tuu.
 
mkuu tumezoea utaratibu wenu wa kutupasha habari huwa mnaweka picha kwenye mikutano yenu...kama kuna tupicha tupia kamanda.


kama picha zingekuwa ni ushahidi mbona mauaji kama haya yaliwekewa picha na bado hakuna mlichofanya au nyinyi ni waumini wa mauaji ili kuendelea kutawalaView attachment 102144??...., mbona upuuzi wa kuteketeza milioni 300 kwa safari za kishenzi na kubembea kama hapo katika picha hakuna mlichosema zaidi ya kushabikia safari hizo za kijinga ziendelee...
View attachment 102146
 
ungeandika Kiswahili tu. Inawezekana ulikuwa na ujumbe mzuri tu

Kazi kutwa kucha kutetea Che che mea chama mfu. Udhaifu wenu utawagharimu watoto wenu, ndugu zenu hata wajukuu wenu. Kiwanda cha pombe za kienyeji kulipa kodi zaidi ya mgodi ama giant mobile phone operating company kwenye nyie sawa tu. Serikali dhaifu kushindwa kukusanya kodi kwenye kwenu nyie bado ni jembe tu na nyundo ya kukandamizia wanyonge. Mna akili mfu, ipo siku mtakapotumika kama guinea pig ndo mtakapoamini Che Che mea hawafai.


Anyaway, msalimie mliberali mwenzako Hamida. D
 
Makene picha picha picha!

Jamani mbona leo mmekuwa wagumu wakuweka picha?
 
Chadema wanajuta kufanyia mkutano Manzese bora wangepeleka hata Kimara kidogo wangewapata jamaa zao.
 
Kwa nin mkutano usirushwe live kwenye Tv? Chadema endesheni mambo kidigitali, any way usisahau kuweka picha mkuu! God bless tanzania!
CHADEMA ingekuwa na TV yake wazo lako lingekuwa rahisi sana lakini kwa sasa vituo vyote vya TV vimeshikiliwa na wenye nchi ambao ndo wanaongoza nini kirushwe katika TV zao hivyo wasingekubaliana na ombi la CDM kurusha huu mkutano wao.
 
Chadema wanajuta kufanyia mkutano Manzese bora wangepeleka hata Kimara kidogo wangewapata jamaa zao.

MCHEZO WENU WA KUWABAGUA WATZ KWA UKABILA UDINI NA UKANDA KAMWE HAUTAWAACHA SALAMA, UKABILA UTAKUUA MKUU.. NA KUNA SIKU NCHI IKICHAFUKA KWA SERA ZENU CHAFU ZA KUWAGAWA WATZ SIJUI UTAKIMBILIA WAPI MKUU.. NYINYI MNA DOLA, POLISI, JWTZ, KILA KITU.. LAKINI BADO.. MANASHINDWA KUFANYA MAENDELEO NA KUTIMIZA MLICHOAHIDI...KILA SIKU UDINI, UKABILA... HAMSHI KULALAMIKA WAKATI MNADORA
UJUE WATZ WANAKUMBUKUMBU SANA.... KILA NYENYE MWANZO KINAMWISHO... UONGO WENU HUU NDIO UTAKAOWAMALIZA...


AHADI ZA JK 2010................AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...




1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36. Kulinda haki za walemavu - Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha




---2005 Alikuja na Maisha bora kwa kila Mtanzania,hili halina ubishi lilikuwa ni changa la macho kwa Watanzania,Kama haitoshi akasema anawajua kwa majina wala rushwa,lakini hatuoni hata mmoja aliyemchukulia hatua===hii ni kutaka sifa na popularity.

---Juzi amekuja na mpya ya kumpatia kila mwanafunzi Computer ambayo iko connected kwa internet, it's high time now kwa watanzania kuhoji uwezo wa RAIS wetu,ni kwamba anafanya Wa Tanzania ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi ku reason kuwa hilo sual haliwezekani???

Hata kwa wanafunzi tu wa vyuo vikuu hilo suala halitekelezeki leo anatuambia ataanza na shule za msingi,umeme ni tatizo..hivi jk anajua kuwa its only 10% ya wa Tanzania wana access na umeme na 0.05% ya watanzania ndo wanaweza kutuima computer na wana access na internet,hata kwa nchi ambazo zimeendelea kuzidi sisi hilo suala halipo,,yeye anataka kuhadaa Wa Tanzania aili aendelee kubaki madarakani!!!!!me nadhani pia JK na uwezo mdogo sana wa ku reason ndo maana hata hafikirii kuwa suala kama hilo watu wenye akili timamu hawawezi kusadiki,inahitaji mtu mwenye akili za mwenda wazimu kuamini ahadi kama hizo.
 
Back
Top Bottom