Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Naona mpaka sasa wanasuasua kuleta picha ... Hahaha! Makamanda leteni picha tuone umati hehe

attachment.php
 
Jiulize hiyo Chadema inapendwa sana na kabila gani hapa nchini. Halafu kama niambie CCM nayo inapendwa na kundi moja au na nchi nzima. Ukipata jibu kaa nalo mwenyewe.
ccm inapendwa na mafisadi zaidi, chadema inapendwa zaidi na wanyonge! Hata mseme vip, ccm inaelekea kuchokwa, sisi kusini tunajipanga kuachana nayo, tuone mtapata hizo kura mnazoita sijui za kishindo!
 
Hivi wewe Mingoi umefunga kweli au unatuzuga tu? haya maneno ya uchochezi na chuki za kikabila hayafai kabisa kuandikwa na muislamu tena aliye katika funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mkuu Mwita Maranya,tusiwe wanafiki katika hili hivi umeshawahi kumsikia mwenyekiti wenu akiwaamasisha watu wake kuandamana au kuvunja sheria za nchi? Tena ndio kwanza anaisifia serikali na rais zinapojenga barabara ili kuishawishi na kuongeza kasi ya maendeleo.

 
mohamedimtoi hivi wewe u nani chadema!maaana nawajua kuna vijana wengi walikuwa busy na chadema mwisho wa siku wanatupa kule bila ya msaada wowote na kushauri achana na siasa maji taka zitakupotezea muda!
case study: wapi alipo ludovick joseph,henry kilewo,dady igogo etc! take care bwana mdogo
huo ni uharo!
 
Last edited by a moderator:
"Kama m2 anakupiga kwa kukuonea, anakunyima haki kwa uonezi, suluhisho si vurugu ni akili" Malcom X; Kauli ya MSIGWA MB.
 
Mkuu bila shaka shule yako haija kusaidia kabisa! Mpaka leo hujui tofauti ya kuwa msemaji na kuripoti kinacho semwa?! Nani amenajisi elimu yetu mpaka mnashindwa kutofautisha vitu vidogo namna hii?!

mkuu mtoi huyo mpotezee anakutoa kwenye issue za msingi we endelea kutiririka kazi unayofanya ni kubwa na yenye tija usipoteze muda kujibishana na ritz.tupe updates za mkutano kamanda
 
mkuu wangu mohamed mtoi wapi picha hawa magamba wapate kusadiki
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bila shaka shule yako haija kusaidia kabisa! Mpaka leo hujui tofauti ya kuwa msemaji na kuripoti kinacho semwa?! Nani amenajisi elimu yetu mpaka mnashindwa kutofautisha vitu vidogo namna hii?!

Mohamedi Mtoi, wewe pambana nao hawa magamba, siku hizi sisi hatubishani nao..... watakuumiza kichwa hawa
 
mkuu wangu mohamed mtoi wapi picha hawa magamba wapate kusadiki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom