Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifo
Kwa hiyo mnataka mkawaPINDE hao wangoni?
Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifo
Chadema hawaheshimu hata mwezi mtukufu
Ni kweli mkuu Mingoi si CDM tu mimi pia niliishanga serikali na tume ya uchaguzi kupanga tarehe ya uchaguzi wa madiwani Arusha katika Ramadhani. Nadhani ni kweli hii serikali ni ya mfumo ule......................!.Ufahamu wa watu na imani zao unakupa shida,Misri na Syria si alama ya dini ya kiislam,Ni vyema Chadema kabla kukimbilia kuiga nchi nyengine mkafahmu na kuheshimu mila,desturi na imani za watanzania.Katika hili la ramadhan mnatoa mfano wa nchi zenye waislam lakini linapokuja suala la kuanzisha Red Brigade mnaikana ile ya kigaidi nchini Italy.Mnapojaribu kueneza uongo na propaganda wekeni kumbukumbu zenu vizuri kwani watanzania sio wajinga.
Pictures mkuu.
Ufahamu wa watu na imani zao unakupa shida,Misri na Syria si alama ya dini ya kiislam,Ni vyema Chadema kabla kukimbilia kuiga nchi nyengine mkafahmu na kuheshimu mila,desturi na imani za watanzania.Katika hili la ramadhan mnatoa mfano wa nchi zenye waislam lakini linapokuja suala la kuanzisha Red Brigade mnaikana ile ya kigaidi nchini Italy.Mnapojaribu kueneza uongo na propaganda wekeni kumbukumbu zenu vizuri kwani watanzania sio wajinga.
Utatafuta pakutokea kama mwenzako Yericko Nyerere, huwa sikisii mimi.
Naona mpaka sasa wanasuasua kuleta picha ... Hahaha! Makamanda leteni picha tuone umati hehe
Mkutano umemalizika salama,Pinda naye yuko Songea.
Wewe ni mwanasiasa?
Sijakuelewa mkuu unachomaanisha
Picha?
Andaeni na makaburi kabisa lazima mfe kwa kihoro mtashangaa mweleka mtakao kula hamtaamini watanzani siyo wajinga wachague chama cha vurugu.Mabadiliko ya utawala mwaka 2015 ni muhimu sana! Ccm imetosha muda wao umeisha