Leo naona umetumwa kuwakilisha wadau wa BUKU SABA,shift yako inaisha saa ngapi?Updates ni kuwa mkutano umepigwa marufuku na kamanda wa polisi mkoa. Kule Songea watu hawataki kupoteza maisha kwa mabomu ya kujilipua wenyewe.
Tupieni picha wakuuu
Hili jina limenifurahisha,linanikumbusha kule kule......ja hako?Pigeni kazi makamanda ninaimani red bridge itakuwa makini kila angle ya hilo eneo tuko pamoja.
Mdada utasutwa!!! Kuna chama fisadi Tanzania bara na visiwani kuzidi CCM? yaani pamoja na propaganda zenu CHADEMA inazidi kukuwa na kupendwa kila siku, aibu kama kuna vijana wanaoipenda Tanzania bado wako CCM chama kinachokufa Tanzania.
hahaha! mkuu unakumbuka ile mitihani yake?
Weka ushahidi wote wa haya uliondikaHuo si ukweli, hivi nyie nani aliwapa hilo jukumu ? mie naona mnasimamia matumbo yenu tu.
Unakumbuka Mwenyekiti alipojiuzia mafuso mtumba kwa bei ya zaidi ya mapya?
Unakumbuka Slaa kajijengea jumba la kifahari Dar kwa fedha zipi?
Unakumbuka kuwa Slaa anamlaza mpaka hausgeli 5 star hotel kwa fedha zipi?
Unakumbuka kuwa huyo huyo Slaa ndiye kampa "mchumba" majukumu ya kusimamia matumizi yote ya chadema kwa "software" zake?
Hapo kuna kuwasimamia Watanzania? wacheni kupotosha umma.
cc. TUNTEMEKE, hamy D
Jiulize hiyo Chadema inapendwa sana na kabila gani hapa nchini. Halafu kama niambie CCM nayo inapendwa na kundi moja au na nchi nzima. Ukipata jibu kaa nalo mwenyewe.
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.
Mgamba huu udini wenu na ukabila ndio unawafanya mchukiwe,angalieni sana,watz sio wajinga na wanawajua nia na madhumuni yenu.Jiulize hiyo Chadema inapendwa sana na kabila gani hapa nchini. Halafu kama niambie CCM nayo inapendwa na kundi moja au na nchi nzima. Ukipata jibu kaa nalo mwenyewe.
Unapenda sana kuota wewe
Updates ni kuwa mkutano umepigwa marufuku na kamanda wa polisi mkoa. Kule Songea watu hawataki kupoteza maisha kwa mabomu ya kujilipua wenyewe.
Mbowe siyo mwanasiasa.
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.
mohamedimtoi hivi wewe u nani chadema!maaana nawajua kuna vijana wengi walikuwa busy na chadema mwisho wa siku wanatupa kule bila ya msaada wowote na kushauri achana na siasa maji taka zitakupotezea muda!Ukiwa unaweweseka ndio kwanza nyomi linaelekea uwanjani.
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.