Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Red Brigade asili yake wapi? maandamo kwa kigezo cha nguvu ya umma? Kuhusu mila,tamaduni na imani liko wazi kwa kila mtanzania mwenye upeo mkubwa wa kufikiri.Zitto aliitwa wakuja alipotumia haki yake kugombea uenyekiti taifa,Habibu Mchange alipewa kesi ya rushwa alipogombea uongozi Bavicha,Ukiwa kiongozi na ukatoka kaskazini utaudhuria vikao vya kamati kuu hata kama wewe sio mjumbe na mengine mengi nikiyataja nitajaza kurasa ebu jikumbushie mwenyewe.Hakuna mahali nimesema Misri na Syria ni alama ya dini ya kiislamu, hayo umetunga wewe,
Hebu nifahamishe ni wapi CHADEMA;
:Wameiga mataifa mengine,
:Wameshindwa kuheshimu mila, tamaduni na imani za watanzania?
Mkutano wa Songea ni wa kihistoria
Waache washangilie kiama chaoAnazungumzia red brigade vijana wanashangilia wataka kujiunga
Kamanda kwa mishe mnayopiga Arusha kuhakikisha JF members tunapata update. Binafsi nawapongeza wana JF wa Arusha.
ila mwigulu ndo mlipuaji wa mabomu!Mbowe siyo mwanasiasa.
upo pamoja makamanda tunaendelea kuwaombea katka safari hi ya kulkomboa taifa, tumechoshwa na ufisadi wa CCM..tulianza na MUNGU tutamalza na mungu.
Hivi Mohamedi Mtoi, ni msemaji wa Chadema.
Hivi Mohamedi Mtoi, ni msemaji wa Chadema.
Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifoAnazungumzia red brigade vijana wanashangilia wataka kujiunga
Mkutano wa Songea ni wa kihistoria
Mbowe akiwa kwao anahubiri elimu na maendeleo kwa vijana wake hapa anawafanya wangoni wapumbavu anawaamasisha washiriki vurugu ili wapate ulemavu kama sio kifo