Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Mkuu Ng'wanangwa, Hako ka Quote Kako Hapo Chini Huwaga Kananikumbusha TE na CS za Dr DDD, TE 341 (Digital Electronics For Engineer 11), CS 451 (Computer Engineering 111 au Mwenye alikuwa anaiita Computer Architecture For Engineer) na TE 442 (Digital Electronics for Engineer 111 Bia Kusahau VLSI, Lol !!!!!!

"REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha"

hahaha! mkuu unakumbuka ile mitihani yake?
 
Tunashukuru kwa ujio wako hapa Songea

Poa tu

attachment.php
 
[h=5]Kurugenzi Ya Habari Chadema[facebook]
[/h][h=5]TAYARI Mwenyekiti wa Taifa, ameshawasili mjini Songea na punde na hivi punde msafara wake, akiongozana na viongozi kutoka makao makuu na wabunge wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, utakuwa unaelekea uwanja wa mkutano wa hadhara, Stendi ya Malori, Majengo, Songea mjini. Ni kukamilisha uzinduzi wa Kanda ya Kusini, yenye mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi. Karibuni wananchi wote.[/h]
 
Nawatakia kila la kheri makamanda wa Songea na kanda yote ya kusini kwa kuzindua kanda. Tuko pamoja na nyie ili kuhakikisha kuwa kila mtanzania anafikiwa na elimu sahihi ya uraia na ukombozi wa kweli kutoka kwa mkoloni mweusi ccm unapatikana.
 
Wanasema imekufa maana wanajua wakiendelea kusema iko hai watakufa kabla ya muda.

Kamanda mtoi,

Uko sahihi maana wasiposema M4C imekufa watoto hawataenda Chooni, duh CCM bana, kwa kudhalilisha binadamu..
 
M4C imekufa. Imebaki kuzikwa tu. Eti kila siku michango tu lakini hata hatuambiwi hizo hela zinatumika vipi. Kama siyo ufisadi ni nini sasa hii?
 
M4C imekufa. Imebaki kuzikwa tu. Eti kila siku michango tu lakini hata hatuambiwi hizo hela zinatumika vipi. Kama siyo ufisadi ni nini sasa hii?

Mdada utasutwa!!! Kuna chama fisadi Tanzania bara na visiwani kuzidi CCM? yaani pamoja na propaganda zenu CHADEMA inazidi kukuwa na kupendwa kila siku, aibu kama kuna vijana wanaoipenda Tanzania bado wako CCM chama kinachokufa Tanzania.
 
Mkuu tunahitaji picha sisi ambao tuko mbali na tukio.
 
Nipo hapa wanyonge kibao ndani ya uwanja sijaona gari likiwaleta watu diwanj wakata ya misufini ameshuka jukwaani
 
Hapo itakuwa kwaya zinapigwa na bibilia zinauzwa kwa kwenda mbele.Halafu huyu jamaa na jina lake hata haviendani Mungu amsamee bure kwani hajui atendalo.

Sijakuelewa mkuu unachomaanisha
 
Back
Top Bottom