Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Mkuu mbona unaweka picha za mandamano ya mwaka 2010 tunataka za kwenye mkutano wa leo au mmehutubia wachaga wa songea tu.

Kama hata kuangalia picha huwezi basi sisi tukusaidiaje?

Picha zimeandikwa mpaka tarehe 17/7/2013 kabisa lakini mtu alivyo kiwete wa ccm anaona ni za 2010
 
mikutano ya ccm huwa shule watoto wanapewa ruksa mapema waende nyumbani kubadisha unifom ili wajaze mkutano
 
Mkuu tumekusoma!, pamoja sana. mie nimeanza kutafuta wanachama wapya baada ya kumaliza kadegree kangu huko mtwara. niko hapa itumbiko wilaya mpya ya kakonko kigoma
 
mikutano ya ccm huwa shule watoto wanapewa ruksa mapema waende nyumbani kubadisha unifom ili wajaze mkutano

Hili chama CCM limepoteza kabisa mvuto kwa wananchi, wengine hua wanaletwa na mabasi bila kusahau wasanii kutumbuiza jukwaani kama Orijino Comedy.
 
Mkuu mbona unaweka picha za mandamano ya mwaka 2010 tunataka za kwenye mkutano wa leo au mmehutubia wachaga wa songea tu.

umedhihirisha wazi kuwa 99% ya chama tawala hawajui kusoma wala kuandika, hatakama unatumia elimu ya watu wazima haiwezekani usione tarehe kwene pcha ya mwsho.
 
Mkuu mambo mengine vituko kweli mbowe anahubiri elimu wakati hata maana ya elimu hajuwi make hajasoma.

kama watetezi wa CCM ni hawa na hoja zao ni hz basi sna budi kumuunga mkono kamanda Yericko Nyerere kuhusu anguko kuu la CCM.Ujinga unyayoni mpaka unyweleni
 
Jiulize hiyo Chadema inapendwa sana na kabila gani hapa nchini. Halafu kama niambie CCM nayo inapendwa na kundi moja au na nchi nzima. Ukipata jibu kaa nalo mwenyewe.

Ni vizuri pia kuwa na wajinga kama wewe ambao maneno ya kikabila hayawatoki kinywani!
Ni bahati nzuri kwamba wananchi waliomaliza STD VII wanapembua kuliko nyie wa BODI YA MIKOPO!
 
1044449_438650599566918_1585764142_n.jpg

1004786_438650406233604_1316194436_n.jpg
 
Mkuu mbona unaweka picha za mandamano ya mwaka 2010 tunataka za kwenye mkutano wa leo au mmehutubia wachaga wa songea tu.
mkuu ni wakati wa digitali angalia tarehe ya kwenye picha utajifanya ujaiona
 
Back
Top Bottom