Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Acheni kuchafua dini zisizowahusu, kwani Mwezi mtukufu ni kwa ajili ya kufanya tafakuri ya kina , na Chadema wanafanya tafakuri kuhusu Taifa ,

Tatizo , unajifanya wewe ni muislam hebu andika aya moja hapa , nitakujibu yatakayofuatia
Unakila dalili za magonjwa nyemelezi ya viroba na ugoro,nani kakuambia mimi muislam? ebu wapeni fursa wanachama wenu wafanye ibada ya ramadhani kwa hizi siku 30.

 
1005988_542127075834610_2021890839_n.jpg
 
Nimekuelewa,tunajua mpo hapa,kitu muhimu mjaribu kuwa na uono wa jicho la tatu,hata mkiwa na hao baba zenu wapeni na ushauri kuwa wanayoyafanya sio mazuri,kwani nyie na familia zenu mtaishi peponi?nikimaanisha kuwa mnaishi na sisi hata kama ni Oysterbay,Masaki,Tandika au Mbagala,na pia hamtakaa maisha kwenye hizo nafasi zenu,hata kiwango cha maisha kuna siku kitabadilika,wajukuuu wenu watakuja kusoma na wajukuu wetu,kuweni makini sana!
mkuu mimi ni mwananchi wa kawaida tena mtoto wa mstaafu wa jumuiya ya africa mashariki! sio mlengo wa chama chochote kile cha siasa,ila napenda taifa langu tanzania
 
Wakuu.

Leo majira ya saa 9, M/kiti wa CHADEMA Taifa, kamanda Freeman Mbowe akiandamana na viongozi kutoka Makao Makuu na wabunge wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, atakuwa na mkutano wa hadhara mjini Songea, Ruvuma, ikiwa ni sehemu ya ukamilishaji wa uzinduzi wa Kanda ya Kusini (Mtwara, Ruvuma na Lindi).

• Mapokezi makubwa (maandamano) yataanzia eneo la Bomba mbili. Mbali ya ku-set agenda za masuala mbalimbali, kisiasa, kijamii na kiuchumi, ambayo CHADEMA inasimamia kwa ajili ya Watanzania, pia atazungumzia masuala kadhaa, zikiwemo kauli za Mzee/Viongozi Wastaafu (ref. Mwananchi ya leo) kuwa wanapaswa kuwa statesmen, hasa katika kushauri taifa kushughulikia primary contradictions kwa ajili ya kutatua matatizo yanayoikabili nchi na Watanzania, badala ya (wao) kutumika kufanya propaganda kwa kuzungumzia secondary contradictions (mfano suala la amani linafanyiwa propaganda sana), huku taifa likiangamizwa na CCM.

YANAYOJIRI

T2015CDM - 0
SAFI SANA TUPE MAPICHA
 
2015 Nchimbi hana chake hapa Songea Mjini, kwa upande wa Madiwani hapa Mjini tulishamaliza kazi!! Tunasonga mbele, haturudi nyuma kamwe.
 
Acha kejeli,watu wako serious halafu wewe unaleta mahoka,sio poa kabisa!
mkuu sijamkejeli mtu ila namuomba radhi kwa kuwa post yangu ilimvurugia ibada yake ya toba!sasa wapi nimeleta mahoka?nafikiri wewe unataka kunichonganisha tu na members wa humu ndani !then naona leo umenipania sanaaaa
 
mkuu mimi ni mwananchi wa kawaida tena mtoto wa mstaafu wa jumuiya ya africa mashariki! sio mlengo wa chama chochote kile cha siasa,ila napenda taifa langu tanzania
Hamsemagi ukweli,ila nadhiri huwa zinawasuta mpaka mnaonyesha muelekeo wa kazi zenu au kile mnachokifanya,ukishaonja nyama ya binadamu huwezi kuacha hata siku moja.
 
Sijakuelewa msingi wa kuitaja Syria na Misri,hapa ninazungumzia Tanzania na watanzania.
Usikimbie hoja, hao watanzania wamefanya nini cha kutoheshimu mwezi mtukufu. Syria na Misri ndio wameshindwa kuheshimu.
 
Back
Top Bottom