LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Ndiyo maana nikasema unafikiria ki-BAVICHA BAVICHA. kwa fikra zako tunaposea kupiga box unafikiri ni kupiga kweli box.

Welcome to London.

Watu tulishatusua huku huku bongo, tena ni below 30 yrs; july ntakuwa na bness trip ya huko, nilishakwambia mi si mshabiki wa siasa..cheki post zangu zote (siko CDM,CCM,CUF,NCCR) wala popote pale..but huwa napiga kura bila kukosa, nashangaa mnapigizana kelele na kukesha JF kupost utok* JUDGEMENT NI 2015
 
Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa
 
Morogoro! mmelogwa kuaminishwa na ccm kwamba maisha mlionayo ni mazuri? hapo kilikuwa kituo cha wapigania uhuru wa south Africa, lakini nyinyi wenyewe mnashindwa kupigania haki zenu? shame on u!
 
umesema kweli mkuu magari yamebeba watu mpaka Matombo,Mikese na Mgeta tumewaona kwa macho

mkuu wakaazi wa vijijini wanashida ya usafiri daima mimi sikuwepo moro ila rai yangu ni kwamba kama watu wakakiomba chama fulani kiwasaidie kufika kwenye mkutano wa chama hicho kwa nini chama kisiwasaidie kufika kwenye huo mkutano.
 
weka picha kama huna angalia thread humu ipo inayonesha hayo ng pia we mwenyewe utoe majib maana kinana kafanya maandalz ck nane na cdm ndan ya masaa kazaa na bila k2mia tv,wala redio na kusomba watu ila matokeo n ful nyom kwa cdm .....acha mapov weye gamba
 
Kwamba kapata sokozuri la menoya tembo ataongea na mwenyekitiwake ampe ndege msione tena!

mimi nilikuwa sijui kama mbowe alipata zero fomu six nimeyasikia leo kwa kinana na nape you have any edition to this isue.
 
Huyo mwenye mabasi ndio mkoloni wenu mpya baada ya uhuru. wakeup new generation hao wazee wamasha kata tama hawana future hao.
 
Nadhani ujaona mkutano wa mwanza cheki kwanza kwa wanaume kisha uongee magamba ww.
 
Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM

.Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka

.Mchakato wa katiba unaenda vizuri, CDM ni vigeugeu walidai kama wangepata nafasi ya kushika dora wangebadilisha katiba ndani ya siku 100 huku wakisaau kuwa katiba ni ya watanzania na sio ya CDM kwani siku 100 tu hutawezaje kuwafikia watanzania ukapata mawazo yao

.Watanzania waaswa kutotumika vibaya kwa wanasiasa kama kushiriki migomo, fujo na machafuko kwani haina tija kwa taifa letu kwani viongozi wa CDM wanataka kutawala kwa mabavu huku wakidai nguvu ya umma wakati nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupigia kura

.Mboye anachochea migomo ya vyuo vikuu wakati yeye alipata ZERO kidato sita kwa hiyo haoni umuhimu wa elimu ya chuo kikuu, nae MNYIKA kumbe alidisco UDSM ila yuko msitari wa mbele kwa migomo ya vyuo vikuu ili tupate taifa la wajinga

Yaani CCM kupata watu wengi kwenye Mikutano ni jambo linalosherehekewa na Wapenzi wao siku hizi? Ama kweli CCM imechoka ha ha ha. BTW huo ulikuwa ni Mkutano wa kuinadi CDM au?
 
dah aisee nilikuwepo kwenye mkutano, watu ni wachache sana kiasi kwamba karibu wote tuliofika hapa tumepata kiti cha kukaa.!
dah sisiem bhana sijui nani aliye waroga, yani kila anayepanda jukwaani anaongelea chadema (except mhe. aboud, mbunge wa morogoro mjini).!
kweli nyinyi makamanda wa chdm ni nyoko...
 
Ccm kweli imepoteza mwelekeo yani leo ndo wanakumbuka kuwa wanatakiwa waisimamie serikali amakweli mambo yapo kooni nani wa kumfunga paka kengele. Mkutano mpaka mtoe 10000 na mlipie magari ya kuwabeba hao mamluki bado wanaota kurudi 2015 amakweli ccm wanajidanganya wenyewe yani ccm ni sawa na mbuni aliemuona simba jangwani halafu eti anajifisha kwa kufukia kichwa kwenye mchanga wakati body lote lipo out what do you expect?
 
mkuu uongo utakupeleka motoni huoni aibu,

naona buku 7 imeingia hapo, hongera sna kijana utakufa kwa njaa
 
400741_504897529557565_1750389005_n.jpg
 
Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa
Kwa nini izikwe wakati haina hata mbunge huko, wewe naona mavi yanagonga chupi maana unajua kuwa CDM wakija huko ni kukusanya watui wa hapo Moro waliochoshwa na utawala wa sultani(Abood) ambae kazi yake ni kugawa mabasi kwenye misiba basi
 
CHADEMA walileta wakufunz toka Ujerumani!kasema Mwenyekit ktk bashirafu!kudadadadek mpaka muhame nchi CHADEMA..Kitu live TBC TV na Radio! CHADEMA wapo Mwanza tu,sio tupo Moro lakn Tanzania nzima via TBC na CHADEMA wanatutazama na kutuangalia..CCM OYEEEEEE..MUUNGANO OYEEEE


haya hongereni sana kwa kuuza sura.
 
Back
Top Bottom