LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa

JIPIME MWENYEWE!

Hivi yupi ni KIONGOZI wa KITAIFA?
Ni mkutano upi unastahili kuwa live?

au ndio AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA.
1.+KINANA+AKIHUTUBIA+MAELFU+YA+WANANCHI+KATIKA+MKUTANO+WA+HADHARA+MJINI+mOROGORO.jpg

552882_504877936226191_481702306_n.jpg
 
Si mlisema mliibiwa kura?

Yeah Unadhani bila KUIBA kura JK KIKWETE angepata UNGWE ya PILI? sidhani ndio Maana wanaifanyia VITUKO CHADEMA; Wanajua MANTIKI yake... BILA WIZI na ULAGHAI na KUINGIZA UDINI - Kikwete angekuwa Bagamoyo ametulia na labda kuna Mahakama ya KUCHUNGUZA MAFISADI imeanzishwa na UTAWALA wa CHADEMA... Kurudisha hayo Mabilioni yaliyoko USWISI na Kwingineko... Yaani itawauma wengi hadi DIAMOND atakuwa AFFECTED na yeye amepata pesa za Uchotaji za bure... Waendesha BODA BODA... what a shame!!!
 
Kama kuna propaganda za kudanganya wananchi sasa tumebaini. Nimeangalia mkutano wa ccm morogoro hakuna ubishi kinana na nape wameizika chadema morogoro. Sasa tunaona juhudi za kulaghai watanzania ambao hawakuona hiyo tsunami. Akili ya kudanganywa changanya na ya kwako angalia television yako achana na maoni ya kupangwa

Mkuu, umeandika type haijawahi kutokea?wapi hapa nyumbani au ng'ambo.unashangaza,we umezoea kuona nini?madenti? kweli mnaweweseka,presha za kigamba zitakulaza trip hii.
 
CHADEMA haiwezi kufa kwa propaganda za CCM tena za watu wenye kashfa kama Kinana na Watu waliopewa miaka 50 bado wanafunzi wanakalia mawe tena yenye ncha kali, miaka hamsini nchi inaomba chakula, miaka hamsini watu wanazalia barabarani na kulala chini, miaka hamsin watu hawajui kusoma na kuandika hivi hawana aibu au ni utawala wa kifalme kwa ccm
 
Kwa hao watu unaowaona hapo kuna mpiga kura hapo? Au wamekuja kushangaa kama wale walioenda kushangaa watu wa kufikirika walionasana pale Temeke Hospital? Kamuulize Odinga kilichomkuta Kenya na umati wake wa kwenye mikutano.

wapiga kura wapoje mkuu?? Wanavaa nguo za njano na kijani? Wanatumbuizwa na diamond?
 
Yeah Unadhani bila KUIBA kura JK KIKWETE angepata UNGWE ya PILI? sidhani ndio Maana wanaifanyia VITUKO CHADEMA; Wanajua MANTIKI yake... BILA WIZI na ULAGHAI na KUINGIZA UDINI - Kikwete angekuwa Bagamoyo ametulia na labda kuna Mahakama ya KUCHUNGUZA MAFISADI imeanzishwa na UTAWALA wa CHADEMA... Kurudisha hayo Mabilioni yaliyoko USWISI na Kwingineko... Yaani itawauma wengi hadi DIAMOND atakuwa AFFECTED na yeye amepata pesa za Uchotaji za bure... Waendesha BODA BODA... what a shame!!!

Bora ya CCM inamlipa msanii kuliko nyie mnaolipa watu waende kuua wauza magazeti kwenye mikutano yenu.
 
Jamani mwajidanganya mchana kweupe,hao watu wametoka sehem nyingi sana wengine pwani,hivi mtasomba watu mpaka lini?labda hujawahi kaa na mbunge wao wa hapo ili ujue nguvu ya CHADEMA ndani ya huo mji,kama kuna mwana Morogoro yeyote yule amtafute mbunge wao maana siku hizi anajifanya kuongea na kila mtu na jaribu mgusia CHADEMA then utapata majibu sahihi,na wakati makada wanatambulishwa kuna MEYA wao bhana,jamani huyu mtu anasema anasomea uzamivu MZUMBE na nina was was na elimu yake na bado nafatilia kwa ukaribu maana ni form four leaver then akawa mpishi mkuu hotel moja inaitwa OASIS kama sijakosea,sasa leo anasema anamalizia masters,au ndo kama kawaida yao?
 
wapiga kura wapoje mkuu?? Wanavaa nguo za njano na kijani? Wanatumbuizwa na diamond?

Mbona hukuhoji chama chako kilipowalipa watu ili waende kuua muuza magazeti kwenye mkutano wenu Morogoro?
 
Nahukuru PICH zimepatikana. Unajua korido za CHADEMA kukimbilia zinazidi kupungua. ENEO WALIPOFANYIA MKUTANO MWANZA LINAUWEZO KAMA UWANJA WA MPIRA. LAKINI UKIANGALIA HAPA ALIPOSIMAMA MHESHIMIWA KINANA NI SAWA NA KUUNGANISHA VIWANJA VINNE VYA MPIRA. HALAFU ANGALIA PICHA YA CHADEMA KUNA VIVULANA VITUPU VINAWASIKIA MABABU ZAO KAMA KAWAIDA -BABU NA WAJUKUU. LAKINI KWA CCM KUNA RIKA ZOTE WATOTO WAKUBWA WANAWAKE WANAUME NAKADHALIKA. UONGO HAUNA NAFASI MAANA TUMEONA KWENYE TBC TUNASHUKURU SANA KWA HILO
 
Kwa nini izikwe wakati
haina hata mbunge huko, wewe naona mavi yanagonga chupi maana unajua
kuwa CDM wakija huko ni kukusanya watui wa hapo Moro waliochoshwa na
utawala wa sultani(Abood) ambae kazi yake ni kugawa mabasi kwenye misiba
basi

Umeshachukua mgao wako wa viroba nini? maana hueleweki!
 
Nitajulia wapi maisha ya vichocholoni kama hayo wakati maisha yangu yako kwenye hiyo nchi unayohangaika kulipia mpira kuangalia kwenye 42" screen.

Welcome to London.

unavyoongea utadhani ukoo wenu wote mnaishi ulaya, unaita vichocholoni wakati umeacha nduguzo kibao, hivi we unaona kuishi ulaya ndo dili? na ndo hata likizo huwezi kuja maana ukitoka tu ndo hurudi tena. sasa taarifa yako hivyo vichocholo ni zao la uongozi wa miaka 50 ya chama chenu, eti unasema unaangalia mpira kwenye home tv room. kumbuka wakati wewe una chumba maalumu cha kuangalizia tv huku kuna watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja, kitchen, tv room, sitting room, dining room nl ni hapo hapo. you sound silly...
 
Nahukuru PICH zimepatikana. Unajua korido za CHADEMA kukimbilia zinazidi kupungua. ENEO WALIPOFANYIA MKUTANO MWANZA LINAUWEZO KAMA UWANJA WA MPIRA. LAKINI UKIANGALIA HAPA ALIPOSIMAMA MHESHIMIWA KINANA NI SAWA NA KUUNGANISHA VIWANJA VINNE VYA MPIRA. HALAFU ANGALIA PICHA YA CHADEMA KUNA VIVULANA VITUPU VINAWASIKIA MABABU ZAO KAMA KAWAIDA -BABU NA WAJUKUU. LAKINI KWA CCM KUNA RIKA ZOTE WATOTO WAKUBWA WANAWAKE WANAUME NAKADHALIKA. UONGO HAUNA NAFASI MAANA TUMEONA KWENYE TBC TUNASHUKURU SANA KWA HILO

Haha zile bichi sizitaki yamekuwa hayo tena

400741_504897529557565_1750389005_n.jpg
 
Kama akili yako inafanya kazi vizuri angalia aina ya watu walio kwenye huo mkutano halafu njoo uangalie aina ya watu waliokuwa kwenye mkutano wa CCM then utaelewa kitu.

Ndiyo maana 2015 mtaendelea kulalamika mmeibiwa kura kama alivyolalamika mwenzenu Odinga.
 
Back
Top Bottom