Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM
.Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka
.Mchakato wa katiba unaenda vizuri, CDM ni vigeugeu walidai kama wangepata nafasi ya kushika dora wangebadilisha katiba ndani ya siku 100 huku wakisaau kuwa katiba ni ya watanzania na sio ya CDM kwani siku 100 tu hutawezaje kuwafikia watanzania ukapata mawazo yao
.Watanzania waaswa kutotumika vibaya kwa wanasiasa kama kushiriki migomo, fujo na machafuko kwani haina tija kwa taifa letu kwani viongozi wa CDM wanataka kutawala kwa mabavu huku wakidai nguvu ya umma wakati nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupigia kura
.Mboye anachochea migomo ya vyuo vikuu wakati yeye alipata ZERO kidato sita kwa hiyo haoni umuhimu wa elimu ya chuo kikuu, nae MNYIKA kumbe alidisco UDSM ila yuko msitari wa mbele kwa migomo ya vyuo vikuu ili tupate taifa la wajinga