LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Wasanii wote hawa wanalipwa bei gani?Why wasitumie pesa hizo kukarabati jengo la CCM-Kyela LISILO NA HUDUMA ZA VYOO ambapo wakija viongozi wa kitaifa wanaomba WAKATUMIE VYOO VYA NYUMBA ZA JIRANI?

Why wasitumie pesa hizo kukarabati ofisi ya CCM-Mpunguti ambayo haina milango wala madirisha na mwenyekiti wa CCM wa kata anakaa chini kwa kukosa viti?
 

We mbwiga kweli, nahujui usemalo postb uongeze kiposho chako cha leo; soccer city ni meeting place ya EPL fans wa sinza; Kwa ushamba wako huu wa kuvamia hata usiyoyajua... naona napoteza time yangukujadili ishu na Dreamer: Nikufundishe wapenzi wa EPL huwa hatujifungii ndani kuangalia mpira huwa tuna maeneo yetu tunakutana kujadili bness na ku watch game. Endelea kupost uongeze posho na kudream zaid. Lala salama maana umelala kiakili na kimawazo.
 
Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM

.Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka

.Mchakato wa katiba unaenda vizuri, CDM ni vigeugeu walidai kama wangepata nafasi ya kushika dora wangebadilisha katiba ndani ya siku 100 huku wakisaau kuwa katiba ni ya watanzania na sio ya CDM kwani siku 100 tu hutawezaje kuwafikia watanzania ukapata mawazo yao

.Watanzania waaswa kutotumika vibaya kwa wanasiasa kama kushiriki migomo, fujo na machafuko kwani haina tija kwa taifa letu kwani viongozi wa CDM wanataka kutawala kwa mabavu huku wakidai nguvu ya umma wakati nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupigia kura

.Mboye anachochea migomo ya vyuo vikuu wakati yeye alipata ZERO kidato sita kwa hiyo haoni umuhimu wa elimu ya chuo kikuu, nae MNYIKA kumbe alidisco UDSM ila yuko msitari wa mbele kwa migomo ya vyuo vikuu ili tupate taifa la wajinga
 
vipi diwani na mbunge wa chadema hajarudisha kadi? Au ni uzushi mtupu??
 

Ungeona ile picha mwenzako aliyo weka hapa jamvini, usingesema habari ya Umati Mkubwa Morogoro. Kiongozi, uwe na mshipa wa aibu kidogo maana mwenzako kaweka picha inasikitisha sana kulinganisha na resources mlizo tumia kwa ajili ya huu mkutanio wa leo.
 
Si uweke picha ya huo umati tuuone. Maneno matupu ya nini?
 
jamani kama product imekwisha expire hata ukiifanyia matangazo vipi haitauzika utapoteza mda mwingi na ghalama nyingi kuitangaza na haitouzika kikubwa jipange njoo na product mpya yenye ubora na si magumashi.ukiiga mchezo wa barcelona ujue kufungwa kuko wazi.
 
vipi kuhusu hali ngumu ya maisha hajaongolea.?
au ajenda ilikuwa ni chadema tu.?
 
kuna wadada walikuwa wana post humu kuwa kuna mbunge wa cdm ataamia ccm....
 
kaka usjiulize sana hawa ndo wapiga deki nyumba za nape na kinana, bada ya watoto wao kupelekwa BOT hawa walisha mbwa ndio wanaletwa JF kwa ujira wa 7000 kwa siku
ID ya aina hiyo inatumiwa na zaidi ya mtu mmoja. Jamaa wanakua zamu!
 
Nitajulia wapi maisha ya vichocholoni kama hayo wakati maisha yangu yako kwenye hiyo nchi unayohangaika kulipia mpira kuangalia kwenye 42" screen.

Welcome to London.
 
Naona chadema inawachanganya sana Ccm, kinana analia na chadema tu hana jingine, nimemshusha sana sikumtegemea namna hii, naanza kuhisi tabia za mwigulu, lusinde na nape nadhani ni yeye anaprogram
 
Kinana anaifananisha CDM na Jonas Savimbi

Mizee ya CCM bwana!!!??? Hsijui kuwa wapiga kura wetu wengi ni vijana ambao hata jina la Savimbi hawalijui.

Yaani aibu kuendeleza propaganda za mwaka 47!!
 
Wana Jf naomba mnijulishe kama kilichofanyika moro ulikua mkutano wa ccm yaani kinana na nape au lilikua tamasha la wasanii.Hii nikutokana na nilichokiona tbc kwani wasanii kama dimond temba na kundi lake na lina walikua wanaburudisha nikajua fiesta imeanza tena.
Then nikaona wana ccm wakipanda na kujitambulisha nikashindwa kuelewa au ndo mbinu mpya yakukusanya wananch?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…