Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Wasira yupo!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wageni ni Mzee Wasira,prof Lipumba na Tundu Lissu na ndo wamefika na wanachukua nafasi zao mbele.
 
Sasa ni ule wasaa tuliousubiri kwa muda mrefu wa mdahalo juu ya katiba.
Wale walio dar jitahidini kufika,wa mbali sogeleeni Televisheni zenu.

Tunahitaji kujua anayekwamisha katiba yetu mpya.

Mzeee Masako kashaanzisha mdaharo.usisubiri kuambiwa.

Wasira,Tundu Lissu,Dr slaa na Polepole watatujuza vyote.
 
Muongozaji anasisitiza mdahalo wa leo ni wa elimu kwa umma na leo wanataka kujua ni nani anayezuia waTz kutopata katiba mpya na prof Lipumba kapewa nafasi ya kwanza kuzungumza na kapewa dk 5.
 
Njema sana mcubic, nafuatilia updates zako hapa nipate elimu kwa umma kutoka kwa kina Lissu, Lipumba, et al.

Swadakta ntajitahidi kadri ya uwezo alonijalia muumba
 
Last edited by a moderator:
Si nilisikia atakuwepo mwanasheria mkuu wa zanzibar. Vipi wakuu yupo?
 
Jamani naomba kuuliza huyu dada ambaye ni mc wa mdahalo ni nani maana huwa namuona mara nyingi kwenye midahalo
 
Nipo hapa Sunset Tabata, wamehamisha channel, anaanza Prof. Lipumba ila wamehamisha channel. Huku nikiendelea kupata baridi na moto naomba mfatilie wenzangu manake mimi nakosa nguvu hapa.
 
Lipmba anaanza kwa dk 5 za kwanza.....anaanza kwa kusema vyama vya mageuzi vilipigania katiba mpya na wanamshukuru Kikwete kwa uthubutu wake wa kuanzisha mchakato huo.....japo haikuwa kwenye ilani ya CCM
 
Back
Top Bottom