Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Jembe Polepole yupo,nausubiri kwa hamu kwl hapa.Gamba Wasira kakimbia ama?
 
CCM hawawezi vita vya ana kwa ana ndiyo maana Wasira kakacha mdahalo.CCM bila kubebwa na uwingi wao na kubebwa na bibi mkuu wa bungeni hawana lolote.Ukitaka kumfukuza CCM mpeleke kwenye mdahalo na ukitaka kumfaidi CCM mpeleke kwenye kuunga hoja hapo utaliona hadi gego lake la mwisho ni ndiyooooooo kwa kwenda mbele.
 
Ndugu wanabodi, msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na Itv. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo. Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.KARIBUNI

Tupo hewani kaka,tunasubiri.
 
Ndugu wanabodi, msisahau kufuatilia mdahalo wa Kkatiba utakaorushwa live na Itv. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo. Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.KARIBUNI
lipumba mgombea urais mweledi kwa kugombea mara nyingi bila kufanikiwa na tundu lissu anayetusi waasisi wa taifa sijui wana lipi. ukawa wanadhani wana hatimiliki ya kutoa mwongozo kuhusu katiba mpya
 
Wakuu hakuna mafisadi wa CCM watakaoalikwa ktk midahalo kama hii wakahudhuria. Alialikwa KINANA akatoa Udhuru na baada ya hapo wakamwalika Wassira, yule mzee wa Gombe, naye sasa ameingia mtini. MICCM YOTE NI MIOGA, hawana jipya..
 
Ndugu wanabodi, msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na Itv. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo. Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.KARIBUNI

Umeanza kuandika vizuri mwishoni umejiumbua kumbe na wewe ni wale wale mliotanua UPAWA kusubiri hela za maandamano kutoka kwa wafadhili.
 
Mambo yote dodoma, huku kwingine kote ni kutapatapa tu
Mbona kama wewe ndiye unayetapatapa mkuu. Kama mambo yote ni Dodoma, katika mchango wako hapo juu umesema Wasira atakuwepo leo. Kama hiki cha leo hakina mchango katika kupatikana kwa katiba nzuri, ''mtupori'' anakuja kufanya nini?
 
Heading haiendani na content na pia hakuna kitu inaitwa new update hapa duniani ila kuna news updates

Hugochaves weee mhuni tu usiyeweza kupambanua mambo. Naona hata hujui tofauti kati ya NEW ALERT na NEW UPDATES. Pole sana kwa udhaifu wako..
 
mimi nasubiri muda ufike tuone jinsi ccm watavyoumbuka na walivyo wanafiki saa tisa kama itv
 
Umeanza kuandika vizuri mwishoni umejiumbua kumbe na wewe ni wale wale mliotanua UPAWA kusubiri hela za maandamano kutoka kwa wafadhili.

Uzuri misukule inazidi kupungua hapa Tz ndo maana hata hapa jf mnahesabika!
 
Umeanza kuandika vizuri mwishoni umejiumbua kumbe na wewe ni wale wale mliotanua UPAWA kusubiri hela za maandamano kutoka kwa wafadhili.
hujui hata kuandika au umekurupuka kutoka chooni
 
Wakuu hakuna mafisadi wa CCM watakaoalikwa ktk midahalo kama hii wakahudhuria. Alialikwa KINANA akatoa Udhuru na baada ya hapo wakamwalika Wassira, yule mzee wa Gombe, naye sasa ameingia mtini. MICCM YOTE NI MIOGA, hawana jipya..
wassira amekubali atakuwa subiri tuone jinsi ccm watavyoumbuka leo kwenye mdahalo saa tisa itv
 
Back
Top Bottom