Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Husna Mbwambo anamuuliza Lissu, kama UKAWA wanaamini kuwa wanasimamia maoni ya wananchi walio wengi, wanaona vipi tabu ya kurejea bungeni kumaliza hatua ya tatu ili wawaachie wananchi katika hatua ya nne ili waamua aina ya muungano wautakao? Sijui kama Lissu atajibu swali hili
 
wasira atazimia kwa maswali,kila mtu anambandika yeye tu
 
Swali kwa Lissu kipengele gani cha kanuni kimebadilishwa na kanuni gani?
 
Lipumba na Lissu wameulizwa, kwa sasa katiba ipo kwenye mchakato wa bunge la Katiba, inakuwaje wanaacha kutekeleza wajibu wao na badala yake wanakuja kwa wananchi sasa?
 
Ahsante MWL. WA SHEKLANGO kwamba kwa nini msimalize ngwe hii alafu muanze maandamano yenu hatua ya kura za maoni?

Mkuu Mbowe asipoandamana atadaiwa hela na wafadhili na hela za dili atazipigaje!?
 
Kuna wabongo shida sana..mtu anang'ang'ania maiki alafu anashndwa kuuliza swali..only in tz
 
Huyu mwenyekiti anapoteza muda mwingi kuliko wahusika wakuu, talking talk talk.
Aaaaah!!
 
Husna Mbwambo anamuuliza Lissu, kama UKAWA wanaamini kuwa wanasimamia maoni ya wananchi walio wengi, wanaona vipi tabu ya kurejea bungeni kumaliza hatua ya tatu ili wawaachie wananchi katika hatua ya nne ili waamua aina ya muungano wautakao? Sijui kama Lissu atajibu swali hili

Huko kwa wananchi ndio wanakotaka ccm, maana wenyewe ni mabingwa wa kuchakachua na kuiba kura.
 
Wananchi wana hamu sana ya kumpiga maswali mwanaGOMBE.
 
Wasira yupo na anajibu maswali yalioulizwa na wajumbe kwa sasa
 
Back
Top Bottom