Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Husna Mbwambo anamuuliza Lissu, kama UKAWA wanaamini kuwa wanasimamia maoni ya wananchi walio wengi, wanaona vipi tabu ya kurejea bungeni kumaliza hatua ya tatu ili wawaachie wananchi katika hatua ya nne ili waamua aina ya muungano wautakao? Sijui kama Lissu atajibu swali hili
Kwakweli Lissu kapwaya sana.
Hakika Wassira ni mwamba!
 
Waasisi waliamua kuwa masuala ya Tanganyika yatasimamiwa na serikali ya muungano kutokana na hati ya muungano-Wassira
 
Wakuu mm kwenye tv wassira haonekani vizuri sura. Kipara tu na mwili ndio unaonekana. Au anaogopesha
 
mpolepole amepewa sifa anaufahamu mkubwa kuliko wasira
 
Hata sasa tunazungumzia rasimu anamjibu aliyeuliza swali wakirudi bungeni watajadili rasimu -Wassira
 
Back
Top Bottom