Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Namuona mamDenyi kwenye mdahalo,
 
Last edited by a moderator:
Wassira , amepewa ya sana, alipaswa kuwa kwenye takwimu na sio kelele na kutishia eti anazungumza kwa niaba ya wazanzibar waliopo serikalini.....
 
Bunge la katiba lillilopita liligharimu bil 27 kama unamuamini waziri wa fedha na kama unamuamini waziri wa sheria liligharimu bil 24 na bunge la katiba lijalo litagharimu bil 20-Lissu
 
Kwakweli Lissu na Lipumba wamebanwa sana!
 
Wassira.... Hata kama Tume zilizopita zilipendekeza serikali Tatu lakini mbona hazikupitishwa,hivyo na hii ya sasa haitapita
 
Lissu anakubali uwepo wa Tume ya Fedha. Hoja ya Wassira hiyo.
 
Hivi huu mdahalo Wassira ndie msemaji na mjibu hoja wa bunge maana naona mc anamwambia ajibu kila kitu. Wameenda kumuuliza wassira maswali au ni mdahalo! Huyu mama anabeba chama fulani, hana busara, anataka washiriki wafuate anachotaka yeye. Wakimzomea wassira anasema studio kata mawasiliano. Wakate mjinga kabisa.
 
Sijui kwanini kwa baadhi ya watu inakuwa ngumu kuelewa kuwa serikali hiyo ya tatu ikibaki kama ilivyopendekezwa na Tume ya Katiba haiwezi kusimama; sijui kwanini!
 
Back
Top Bottom