Lissu amewataka wafuasi wa UKAWA kuacha mpango waliotumwa wa kuzomea zomea
SW: Katiba inapatika kwa sheria inayozingatia mambo manne!
i) tume ya katiba mpya kukusanya maoni.
ii) maoni ya mabaraza.
iii) bunge maalum la katiba mpya
iv) kura toka kwa wananchi.
Anamshangaa TL kusahau mambo haya ya msingi.
Kweli Mkuu. Kwa jinsi walivyozidiwa kwa hoja na Wassira hakika watazomewa mpaka kaburiniLissu unaharibu bana. Hawa CCM ni wakuzomewa hadi kaburuni.
Lipumba namuona anashindwa kabisa kutetea mfumo wao wa serikali tatu na badala yake anaanza kujadili mapato ya muungano
Mh steven wasira amewaambia ukawa kuwa hatua rasmi ya kupata katiba kwa sasa ni bungeni sio barabarani, wasiwadangnye wannchi. Wasira amesema rasimu ya warioba sio katiba halisi bali ninmapendekezo ya katiba. Lazima ijadiliwe penye mapungufu parekebishwe.
Mkuu, kila akisimama Wassira basi Lipumba na Lissu wanakuwa na hofu kubwa sanaHakika Wassira kaonyesha weledi mkubwa kuliko Lipumba na Lissu.