Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dak. 60 Brazil 3-0 Spain.
Reda maliza mpira tukalale
reda tena mkuu ndio nani au ni jina la refa nini..
Everything has a limit. Brazil hawana chao tena katika soka.
Neymar atapata wakati mgumu sana Spain.
Mkuu kidole cha Mkuu kimeteleza bila shaka anatumia mobile phone, Pique kachukua red card dak. 67.
reda tena mkuu ndio nani au ni jina la refa nini..