Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

Hizi ranking za FIFA zina walakini mkubwa sana. Sasa utaona Brazil wakishinda leo watapanda labda mpaka nafasi ya kwanza au ya pili!!! Brazil haistahili kabisa kuwa # 22 duniani. Ranking zao ni kichekesho cha hali ya juu.

FIFA rankings: Spain (1), Brazil (22), mpira uliochezwa leo hauna correlation na rankings hizi, nadhani Brazil wako wrongly ranked!
 
lakini mpira ni dakika 90 45 ndio zishapita tusubiri 45 zijazo kunaweza kutokea lolote lile
 
Hizi ranking za FIFA zina walakini mkubwa sana. Sasa utaona Brazil wakishinda leo watapanda labda mpaka nafasi ya kwanza au ya pili!!! Brazil haistahili kabisa kuwa # 22 duniani. Ranking zao ni kichekesho cha hali ya juu.

ngoja brazil ipate goli la tatu utaona itakavokuwa..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna mtu alisema brazil wamefutika kwenye soka,anajidanganya bure
 
Hizi ranking za FIFA zina walakini mkubwa sana. Sasa utaona Brazil wakishinda leo watapanda labda mpaka nafasi ya kwanza au ya pili!!! Brazil haistahili kabisa kuwa # 22 duniani. Ranking zao ni kichekesho cha hali ya juu.

Kama Brazil ilivyokuwa ya 22 kwenye ranking ikija kuingia mpaka kwenye kumi lazima kuna walakini,mana watakuwa wanaangalia nini hasa au kuchukua kombe au mechi moja moja
 
Kwa ujumla game ni nzuri inaushindani na ufundi wa kutosha.
Brazil wakivuka half yao wana speed kubwa kulinganisha na speed ya defence ya Spain kupatikana kwa goli ni rahisi. Forward ya spain na attacking midfield yao wameshindwa kuposses mpira na kushambulia kwa mpango zaidi ya ile pass ya Mata iliyo zaa brilliant save ya Luiz,
Nategemea mabadiliko kwa Spain kuingia kwa J nevas kunaweza ongeza speed, sitajii magoli mawaili kwa Spain bila goli 2 za Brazil.
Sp
 
Nimefurahi sana aisee,ingawa hawa spain hakuna tofauti na barcelona hata dk 10 kwao kubwa

tatizo mkuu excy hawa spain wanatafuta chances za kufunga wakati brazil wanatafuta magoli ya kuongoza..
 
Kwa ujumla game ni nzuri inaushindani na ufundi wa kutosha.
Brazil wakivuka half yao wana speed kubwa kulinganisha na speed ya defence ya Spain kupatikana kwa goli ni rahisi. Forward ya spain na attacking midfield yao wameshindwa kuposses mpira na kushambulia kwa mpango zaidi ya ile pass ya Mata iliyo zaa brilliant save ya Luiz,
Nategemea mabadiliko kwa Spain kuingia kwa J nevas kunaweza ongeza speed, sitajii magoli mawaili kwa Spain bila goli 2 za Brazil.
Sp

fred again made it three..
 
Hizi ranking za FIFA zina walakini mkubwa sana. Sasa utaona Brazil wakishinda leo watapanda labda mpaka nafasi ya kwanza au ya pili!!! Brazil haistahili kabisa kuwa # 22 duniani. Ranking zao ni kichekesho cha hali ya juu.

Mkuu BAK, ni muda kiasi Brazil hawajafanya vizuri kwenye soka ukilinganisha Spain.

Nadhani wametumia kigezo hicho, japokuwa nafasi ilipo Brazil nikama wamewafanyia kusudi!

Haya, tatu bila sasa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom