Tupo tutawapeni hbr mi nishamka toka ndotoni sasa nipo maracana through supasport3, karibuni
pamoja mkuu,mana wengine leo maracana yetu ni jf!
Everything has a limit. Brazil hawana chao tena katika soka.
wala msiwe na shaka mwanzo mwisho mtafaudu
Mtanange umeanza rasmi, dak. 1 Brazil 0-0.
mkuu habri ya wewe brazil lead..