Goli la tatu likipatikana basi matumaini makubwa,mana kuwabana spain hata kubaki 2-0 ni ishu pia
Kama Brazil ilivyokuwa ya 22 kwenye ranking ikija kuingia mpaka kwenye kumi lazima kuna walakini,mana watakuwa wanaangalia nini hasa au kuchukua kombe au mechi moja moja
3-0 frediii...dah
fred made it na kalinganisha la kwanza dk 1.5 na hili limefungwa dk 1.5 jamaa ni hatari halafu anafunga gemu kubwa tu..
Mkuu Italy ilikuwa 0-0
Mkuu BAK, ni muda kiasi Brazil hawajafanya vizuri kwenye soka ukilinganisha Spain.
Nadhani wametumia kigezo hicho, japokuwa nafasi ilipo Brazil nikama wamewafanyia kusudi!
Haya, tatu bila sasa!
Kwanini Ramos apige penalt???????
Poor spain