Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

kuna njemba fulani liliandika kuwa champion spain wa pili brazil wa tatu italy naona kalala kesho atalia sana..
 
Bola noventa minutu...
Wikend yote watu hatuna raha namna hawa weusi wenzetu walivyokuwa undermined,
Ooh Spain Spain...! Afadhali sasa wamedhalilishwa,wabaguzi hawa...!
 
mbona brazili hawakati nyavu au mganga wao hazitaki..
 
Sijui watasingizia nini maaana ni aibu sana
 
naona nando kapewa kiatu cha dhahabu baada ya kushusha kisago kwa Tahiti.

huku kipa bora julio ceaser
 
bronze ball paulinho
silver ball iniesta
gold ball neymar

neymar karithi ya kaka 2009
 
ngoja nilale tu maana hapa kina blatter sijui watasemaje..
 
bronze ball paulinho
silver ball iniesta
gold ball neymar

neymar karithi ya kaka 2009
Bronze ball bora wangempa David Luiz. Naona kwa game zote za Brazil kafanya kazi ya ziada
 
Back
Top Bottom