ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Ananikera anadive saba
huyo ndio type zao kulialia tu..
Ananikera anadive saba
Mkuu kidole cha Mkuu kimeteleza bila shaka anatumia mobile phone, Pique kachukua red card dak. 67.
Mkuu kidole cha Mkuu kimeteleza bila shaka anatumia mobile phone, Pique kachukua red card dak. 67.
Mkuu mambo vp? Nakusalimia tu teh teh teh
Mkuu mambo vp? Nakusalimia tu teh teh teh
Baada ya red card wakamuonyesha GF wake Shakira akiwa uwanjani na sura ya huzuni
Ananikera anadive saba
Anaboa sana na diving zakeAnanikera anadive saba
Mkuu alisahau kuwa uhai wa Spain ni Barcelona ambayo nayo enzi zake zimeisha, Brazil wamekamilisha nusu ya lengo lao.
Pole si ukalale tu mkuu
kashayavulia maji nguo lazima aoge au hata anawe..
believe me spain 3 brazil 1
ukiona ivo leo no gemu full majonzi tu..
Good save by Brazil goalkeeper.