Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

leo marcelo na daudi luizi ni noma na aliefunika ni gustavo..
 
haya babu wa Arsenal anunue huyo Julio ceser amefanya save mbili muhimu sana
 
Usiku mwema wakuu hatimaye kwa upande wangu mambo yameenda vizuri.
 
Dak. 90 Brazil 3-0 Spain, kwa vyovyote vile, Spain hawezi kuyachomoa yote haya. Nawashukuru Brazil kwa kumaliza kazi ndani ya dk. 90 ili tukalale.
 
Kwa hiyo Brazil katoa kichapo kwa Spain (so far 3-0), mshindi wa tatu Italy (4-2),Uruguay (2-1),Mexico na Japan...!
Labda angekutana na akina Ofuneka Nkena au Tahit Brazil angekula kichapo.
 
bravoo brazil kesho msimamo utakuwa hivi..

1. Spain
2. Brazil
 
Untouchables have been beaten. Hongera Brazil
 
Mambo ndo yamekamilika!!! brazil vinara. Ingawa posssession mwisho sijaiona!!
 
Mwanzo mzuri kwa Wabrazil, hongera Big Phil!

Tukutane tena mwakani hapo hapo Maracana!
 
Back
Top Bottom